Hapo ni odense mji wa tatu kwa ukubwa Denmark old century 1850 walikuwa wanaishi hivyo,ila wenzetu wanajuwa kutunza historia
Ktk kupitisha kote macho yako kwenye huu uzi ulifanikiwa kuuona huu mstari niliou-bold?Mwaka 1850 palikuwa na camera yenye huo ubora au ndo imekuja Ku editiwa upya