Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Nyie jikanyageni sana tu, mahakama itakapotoa maamuzi dhidi ya LWAKATARE ndipo mtakapojua kuwa kuna wanasiasa na magaidiKutokana na kujichanganya kwingi kwa bwana mwigulu nchemba kuhusu ni lini aliiripoti video ya lwakatare na siku iliporekodiwa ukichunguza kwa makini utagundua denis msacky alikuwa awe chambo ili video ikitoka waunganishe ili kuiua chadema lakini kwa vile mungu halali akawapiga na upofu vijana wa kazi badala ya kwenda kwa denis wakaenda kwa kibanda.
Video ilirekodiwa tarehe 28,29 mwigulu akadai kupelekewa na kiongozi wa chadema aliyechukizwa naomba wana jf muunganishe hiyo startment kurekodi leo asubuhi kiongozi wa chadema aipate leoleo na kuchukizwa jioni aikimbize kwa mwigulu na kesho saa moja na nusu mwigulu awe nayo studio.
Ukiunganisha dots na jinsi ludo alivyotekwa nae usiku uleule na kuvuliwa nguo na baadae kutumiwa 50000 tu utagundua kuwa alipewa adhabu baada ya kupoteza target na mchezo kuharibika.
Hapa nampa ndugu denis msacky ushauri wa bure kama mpaka leo hajaenda kanisani kutoa sadaka shukrani afanye hivyo haraka sana.
Nawasilisha.
Uko sahihi,msacky ndo ilikuwa target ili movie ya lwaks ibambe...mungu ni mkubwa
Kutokana na kujichanganya kwingi kwa bwana mwigulu nchemba kuhusu ni lini aliiripoti video ya lwakatare na siku iliporekodiwa ukichunguza kwa makini utagundua denis msacky alikuwa awe chambo ili video ikitoka waunganishe ili kuiua chadema lakini kwa vile mungu halali akawapiga na upofu vijana wa kazi badala ya kwenda kwa denis wakaenda kwa kibanda.
Video ilirekodiwa tarehe 28,29 mwigulu akadai kupelekewa na kiongozi wa chadema aliyechukizwa naomba wana jf muunganishe hiyo startment kurekodi leo asubuhi kiongozi wa chadema aipate leoleo na kuchukizwa jioni aikimbize kwa mwigulu na kesho saa moja na nusu mwigulu awe nayo studio.
Ukiunganisha dots na jinsi ludo alivyotekwa nae usiku uleule na kuvuliwa nguo na baadae kutumiwa 50000 tu utagundua kuwa alipewa adhabu baada ya kupoteza target na mchezo kuharibika.
Hapa nampa ndugu denis msacky ushauri wa bure kama mpaka leo hajaenda kanisani kutoa sadaka shukrani afanye hivyo haraka sana.
Nawasilisha.
Hauko sahihi mkuu,
Msacky alikuwa part of the deal, ndio maana alimpigia simu Lwakatare
kumuuliza kama ameisharudi Dar ili kijana Ludo aende kurekodi Movie..
Huyu Msacky ametumika deliberately na huenda alikuwa anaujua mpango
mzima wa kumtesa Kibanda. Pia angalia gazeti la Mwananchi lilivyobadili
sera toka ameondoka yule CEO Mkenya na kuja Tido huku Msacky akiongoza
mashambulizi dhidi ya CHADEMA. Lazima yuko kwenye Payroll ya Salva
Rweyemamu
Nyie jikanyageni sana tu, mahakama itakapotoa maamuzi dhidi ya LWAKATARE ndipo mtakapojua kuwa kuna wanasiasa na magaidi
Naona ndugu mnajitahidi ku-spin mambo, guilty conscience inawatafuna! Issue ni kuwa Rwakatare kayasema yale maneno au la?
mkuu libolo,sorry chibolo,hv hili neno la makende bado linatumika? la zamani kweli kweli,enzi zile za balehe yetu sheikh! mi najua korodani tu!wangemteka msacky ingependeza make naye yumo kwenye kutengeneza hii move wangemnyofoa hata makende yake ningefurahi kweli!
thibitisha usemayo vinginevyo jiandae kujibu siku ya mwisho mungu atakapokuwa anaadhimu watu wake siku ya mwisho kwa uongo huu.
bwana atailinda chadema dhili ya udhalimu wote wa mwigulu nchemba