Deni la trillion 28 endelevu, litalipwa na CCM, au?

ngararumu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
468
187
Inavyoonekana hakuna dalili za kushuka kwa deni la taifa ambalo sasa hivi limefika trilion 28, ziko wapi juhudi za makusudi za kutumia raslimali tulizonazo kupunguza/kulipa hilo deni? hamna, Ewe mwanasisiem una mapenzi mema na nchi hii, kwa sababu inavyoonekana CCM imekuwa kama mpangaji ambaye halipi kodi, hatengenezi nyumba, ameifanya kama pango la wanyang'anyi.enyi wenye nyumba mtoeni anapikia kuni sasa hivi kwanza mbichi, jiko la mkaa limeshabomoka, la gesi limeshaoza. nyumba imechakaa, imekuwa masizi matupu.
Mpangaji mpya yuko mlangoni, amekuja na marumaru, enyi wananchi mwingizeni ndani, mjionee wenyewe matunzo yatakavyokuwa.
Yeye CCm hii nchi kwa deni lilipofikia iko kweye pointi ambayo haiwezi kurudi, hivyo ameamua mbele kwa mbele, liwalo na liwe
Watanzania amua sasa, kabla haijawa vipande vipande.
Ukweli usiokuwa na shaka makusanyo yote ya ndani 100% ni ya kundesha serikali iendelee kukaa madarakani na miradi yote ya maendeleo ni fedha za mikopo ambazo ndiyo zimetufikisha kwenye hilo deni la Tshs trilion 28:frusty::A S-key:
 
Let us be honest,wakiwa serious na kukata unneccessary expenditures itawezekana,lakini kwa hali ilivyo sasa ni ngumu sana,mimi kama mimi ningepewa hii nchi kwa miezi sita tu!!!!!!!!,mngefurahi kwanza ningechukua walinzi wangu kutoka either israel au cuba,hawa wa hapa nawapiga chini,sintasafiri kwenda nje ya nchi hadi ni make sure nimeuwa mafisadi wote na kuwafilisi wote(hawa ni wale waliopata pesa kwa njia zisizo halali),na baada ya hapo nitawasilikiza wananchi wanataka nini,so my policy will be down top,and not top down
Kwaherini
 
Inavyoonekana hakuna dalili za kushuka kwa deni la taifa ambalo sasa hivi limefika trilion 28, ziko wapi juhudi za makusudi za kutumia raslimali tulizonazo kupunguza/kulipa hilo deni? hamna, Ewe mwanasisiem una mapenzi mema na nchi hii, kwa sababu inavyoonekana CCM imekuwa kama mpangaji ambaye halipi kodi, hatengenezi nyumba, ameifanya kama pango la wanyang'anyi.enyi wenye nyumba mtoeni anapikia kuni sasa hivi kwanza mbichi, jiko la mkaa limeshabomoka, la gesi limeshaoza. nyumba imechakaa, imekuwa masizi matupu.
Mpangaji mpya yuko mlangoni, amekuja na marumaru, enyi wananchi mwingizeni ndani, mjionee wenyewe matunzo yatakavyokuwa.
Yeye CCm hii nchi kwa deni lilipofikia iko kweye pointi ambayo haiwezi kurudi, hivyo ameamua mbele kwa mbele, liwalo na liwe
Watanzania amua sasa, kabla haijawa vipande vipande.
Ukweli usiokuwa na shaka makusanyo yote ya ndani 100% ni ya kundesha serikali iendelee kukaa madarakani na miradi yote ya maendeleo ni fedha za mikopo ambazo ndiyo zimetufikisha kwenye hilo deni la Tshs trilion 28:frusty::A S-key:

Hiyo figure ya 28 Trillion umeipata wapi wakati Waziri Saada jana alitamka figure ya 30.56 trillion?
 
CCM ni ukoo wa panya-babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining'ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2015 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari' ya bei ya juu ya umeme, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha, EPA na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It's a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that's when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM's tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave in a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits the minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that many Tanzanians hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrendously, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
Inavyoonekana hakuna dalili za kushuka kwa deni la taifa ambalo sasa hivi limefika trilion 28, ziko wapi juhudi za makusudi za kutumia raslimali tulizonazo kupunguza/kulipa hilo deni? hamna, Ewe mwanasisiem una mapenzi mema na nchi hii, kwa sababu inavyoonekana CCM imekuwa kama mpangaji ambaye halipi kodi, hatengenezi nyumba, ameifanya kama pango la wanyang'anyi.enyi wenye nyumba mtoeni anapikia kuni sasa hivi kwanza mbichi, jiko la mkaa limeshabomoka, la gesi limeshaoza. nyumba imechakaa, imekuwa masizi matupu.
Mpangaji mpya yuko mlangoni, amekuja na marumaru, enyi wananchi mwingizeni ndani, mjionee wenyewe matunzo yatakavyokuwa.
Yeye CCm hii nchi kwa deni lilipofikia iko kweye pointi ambayo haiwezi kurudi, hivyo ameamua mbele kwa mbele, liwalo na liwe
Watanzania amua sasa, kabla haijawa vipande vipande.
Ukweli usiokuwa na shaka makusanyo yote ya ndani 100% ni ya kundesha serikali iendelee kukaa madarakani na miradi yote ya maendeleo ni fedha za mikopo ambazo ndiyo zimetufikisha kwenye hilo deni la Tshs trilion 28:frusty::A S-key:

deni la taifa.jpg
 
Back
Top Bottom