Deni la taifa

Deni la taifa

Wa angani

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
268
Reaction score
619
Nasikia deni la taifa limefikia tsh. Tilion 97.35 nataka nielekezwe utaratibu wa kulipa deni lote kwa raia wa kawaida, nikiwa mzalendo kwa nchi yetu nahitaji kuilipia serikali yetu ili kuongeza chachu ya maendeleo tusiwaze madeni tena, na kama bado itahitaji mikopo watueleze namna ya kuikopesha sisi wenyewe wananchi kabla ya kukopa nje kwenye masharti mengi.
 
Kwenye hilo deni Kuna Kama trillion 30 ambazo ni deni la ndani na zaidi ya trillion 60...Ni Deni la nje.

Deni la ndani linatokea pale Bank kuu kwa niaba ya serikali ina issue treasury bonds/bills kwa public,sasa njia pekee unayoweza kuitumia kuisaidia serikali ni kununua hizo hatifungani(bonds) ambazo kwa Sasa rate yake iko juu ili kuvuta wawekezaji zaidi.

Serikali inalazimika kwenda kukopa nje kwenye masharti magumu,kwasababu Soko letu la ndani la mitaji bado dogo haliwezi kukidhi deficit budget ya serikali.
lakini pia serikali inapokopa nje ni mbinu mojawapo ya kudhibiti inflation,in economic point of view"ni bora kukopa kuliko kuprint new money"
 
Back
Top Bottom