nadhani wadeni watu wanfurahi sana mana wamebakisha robo ya hizo fedha kuwa na hisa asilimia 100 kuimiliki nchi iitwayo tanzania. unyonge tunaouonyesha mbele ya mataifa yanayotukopesha vinajionyesha kirahisi kupitia mikataba tunayoisaini,ie ubinafsishaji,madini, misitu, wanyamapori, ujenzi etc. hivi ndo viashiria vya nje vinavyoonyesa kuwa tanzania si yetu baada ya miaka 10 kuanzia leo.