Unajua CAG alibadilisha nini?Mbona CAG alirekebisha,bado tu kuna wengine wanataja zao? Hao wasituchanganye,sisi tunajua la CAG
HahahaaaaSafari hii tunatakiwa kusifu na kuabudu tu. Hata wakisema hamna deni sawa tu.
Dah aibu tupu kwa haya yanayoendelea sasaHapa ile shetia ya Takwimu sijui NANI katika hawa ASHTAKIWE kwa kutoa Takwimu za Uongo!
Angalia tena ulichokiandika halafu kisia hao viongozi wanatoa taarifa hii tofauti ndani ya kipindi cha mwezi mmoja unatuambiaje kwenye hili? Halafu nani anayewajibika katika kutangaza deni la Taifa?Mzee unawaza kuwa deni ni fixed?.Report ya CAG scope yake ni 2015/16(postmortem).Deni hulipwa na kukwopa kila mwezi!Ushauri wangu tafuta mkeka wa ukopaji na ulipaji kila mwezi.
Achana na hao jamaa wao kila kitu ni kutetea tu.Angalia tena ulichokiandika halafu kisia hao viongozi wanatoa taarifa hii tofauti ndani ya kipindi cha mwezi mmoja unatuambiaje kwenye hili? Halafu nani anayewajibika katika kutangaza deni la Taifa?
Watag Mkuu labda wataitikia witoKuna wachangiaji sijawaona hapa
Deni la Taifa ni kubwa sana halilipiki, kwa hiyo? Hitimisha ili uelewekeUONGO UONGO TU, MADENI YA TAIFA MATANO...
1. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha alisema deni la taifa ni Trilioni 27.04.
2. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alisema deni la taifa ni trilioni 46.08 pamoja na kuomba radhi kwa Rais.
3. Waziri wa Fedha Dk. Mpango mwezi uliopita alisema deni la taifa ni Trilioni 47.76.
4. Jana Waziri Mkuu anasema deni la taifa ni dola za Marekani Bilioni 25.42 sawa na Shilingi Trilioni 55.9.
5. Mpango wa Serikali wa mwaka 2018/19 kwenye ukurasa wa 35 unaeleza kuwa deni la taifa ni shilingi Trilioni 57.54.
_____________
Serikali moja, madeni ya taifa matano. UONGO hauchanganyiki na NAMBA. Asante sana #Alloyce_Nyanda_2016.
[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J
Sasa tusaidiane
Deni la taifa ni trilioni......
A) 27.04
B) 46.08
C) 47.76
D) 55.9
E) 57.54
Chagua jibu sahihi....
Wewe tuambie ni lini walikuwa wakitoa matamko hayo? Walitoa siku moja ama? Unajua lazima tuelewe kuwa, madeni huwa yaliyoiva yanalipwa kila siku na Serikali. Hapo hapo Serikali inaendelea kukopa, so kuna haja ya kupata maelezo ya kwa nini kuna utofauti mkubwa wa madeni but in reality lazima tukiri kuwa Serikali inaendelea pia kukopa.UONGO UONGO TU, MADENI YA TAIFA MATANO...
1. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha alisema deni la taifa ni Trilioni 27.04.
2. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alisema deni la taifa ni trilioni 46.08 pamoja na kuomba radhi kwa Rais.
3. Waziri wa Fedha Dk. Mpango mwezi uliopita alisema deni la taifa ni Trilioni 47.76.
4. Jana Waziri Mkuu anasema deni la taifa ni dola za Marekani Bilioni 25.42 sawa na Shilingi Trilioni 55.9.
5. Mpango wa Serikali wa mwaka 2018/19 kwenye ukurasa wa 35 unaeleza kuwa deni la taifa ni shilingi Trilioni 57.54.
_____________
Serikali moja, madeni ya taifa matano. UONGO hauchanganyiki na NAMBA. Asante sana #Alloyce_Nyanda_2016.
[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J
Sasa tusaidiane
Deni la taifa ni trilioni......
A) 27.04
B) 46.08
C) 47.76
D) 55.9
E) 57.54
Chagua jibu sahihi....
Kila taarifa ina kipindi chake. Usisumbuke sana! Aidha madeni haya ni stahimilivu na baada ya miradi iliyokopewa kukamilika, yatalipwa ili kutoa nafasi kwa miradi mingine mipya kupata mikopo.UONGO UONGO TU, MADENI YA TAIFA MATANO...
1. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha alisema deni la taifa ni Trilioni 27.04.
2. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) alisema deni la taifa ni trilioni 46.08 pamoja na kuomba radhi kwa Rais.
3. Waziri wa Fedha Dk. Mpango mwezi uliopita alisema deni la taifa ni Trilioni 47.76.
4. Jana Waziri Mkuu anasema deni la taifa ni dola za Marekani Bilioni 25.42 sawa na Shilingi Trilioni 55.9.
5. Mpango wa Serikali wa mwaka 2018/19 kwenye ukurasa wa 35 unaeleza kuwa deni la taifa ni shilingi Trilioni 57.54.
_____________
Serikali moja, madeni ya taifa matano. UONGO hauchanganyiki na NAMBA. Asante sana #Alloyce_Nyanda_2016.
[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J
Sasa tusaidiane
Deni la taifa ni trilioni......
A) 27.04
B) 46.08
C) 47.76
D) 55.9
E) 57.54
Chagua jibu sahihi....
Kama huelewi logistics za serikali kaa kmya! kma inalipa kla siku hio bugdet inapitishwa kila siku?Wewe tuambie ni lini walikuwa wakitoa matamko hayo? Walitoa siku moja ama? Unajua lazima tuelewe kuwa, madeni huwa yaliyoiva yanalipwa kila siku na Serikali. Hapo hapo Serikali inaendelea kukopa, so kuna haja ya kupata maelezo ya kwa nini kuna utofauti mkubwa wa madeni but in reality lazima tukiri kuwa Serikali inaendelea pia kukopa.