Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,724
- 284,667
Naunga mkono hojaShida ni nini kama tunakopesheka.???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulitamba kuwa SGR, Stigler na Flyover tunajenga kwa pesa zetu za ndani, ile Tirilioni 6 kama reserve bado ipo?Shida ni nini kama tunakopesheka.???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hilo linapaa, chiiiiiiii!!View attachment 1116251
Taarifa kutoka bungeni Dodoma zinaonyesha kwamba deni la Taifa linazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa , Waziri wa fedha Dr Mpango ameliambia bunge kwamba kwa sasa Tanzania inadaiwa Trilioni 51.03 kutoka Trilioni 49.86 za April 2018 , ambapo kiasi hicho kimetajwa kuongezeka kwa Trilioni 2.35
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba gharama ya madeni ya ndani pekee inafikia Trilioni 13.25 huku kimbembe cha madeni ya nje kikiwa ni Trilioni 37.78
Mungu ibariki Tanzania .
Ohooo !!!!Tulitamba kuwa SGR, Stigler na Flyover tunajenga kwa pesa zetu za ndani, ile Tirilioni 6 kama reserve bado ipo?
Madeni yatabaki kileleniiiii!!!
Madeni yatabaki kuwa juuuu!!!!
Magufuli oyoooo!!!!
Asante sana mkuu
Achana nao siyo wazalendo mkuu.Shida ni nini kama tunakopesheka.???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jamani haya ma fly over nchi nzima mnadhani yanatoka wapi ?Maendeleo hakuna ila linapaa tu.