Deni la taifa lapanda na kufikia zaidi ya trilioni 40

Wakopeshaji na wakopaji wameungana kutuibia, haki ya mungu dawa ni kugoma kulipa mpaka ieleweke senti ya mwisho ilitumika wapi, why tulikopa after all
 
Ukiambiwa uchangie kulipa deni la Taifa, upo tayari?
 

Attachments

  • 1434090106135.jpg
    1434090106135.jpg
    9.7 KB · Views: 123
Siko tayari kulipa kwanza amenikopesha nani na aliekopa hakutaka ushauri kwangu.
 
Inawezekana tunalipa indirect.
Kama bei ya mafua kidunia iko chini, afu Tz kwetu imepanda, si ndo kulipa deni la taifa huko:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Unaweza ukawachangia vilevile na wasilipe hilo deni! Likabakia hivyohivyo
 
Hivi nyie @moderators mnatumia vigezo gani ku merge threads??!!!
Mna uelewa gani kuhusu quantitative na qualitative aspects za titles mnazo merge??!!

Kweli deni la Taifa lapanda na Uko tayari kuchangia deni la Taifa??!! Hizo ni nyuzi zinazofanana? ?!!!
Extent, perception, experience, feeling vyote hivi unajumuisha tu na kuunga nyuzi bora zina neno "deni la Taifa" . . . . ., . .hebu fanyeni upembuzi wa mantiki za mada kabla hamjaziunga!!!
 
Back
Top Bottom