Tanzania received debt relief amounting to $3 billion in 2001 thorough the Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) Initiative.
Coupled with improved revenue collections and reduced government expenditure the total debt stock decreased from $10 billion in 2006 to $6 billion in 2007. But as revenue started falling due to the power crisis of 2006 the debt stock started increasing from $7.5 billion in 2008 to the current levels.
PatPending,
Maongezeko ya revenue ya serikali ukitia na Inflation Rate unakuta kiukweli 'mapato halisi'' yameshuka. Mfano kama mkate ulikuwa Tshs. 100 mwaka 2009 na mkate huohuo ukauzwa Tshs 500 mwaka 2010 basi pesa ya 2010 haina thamani kama ya 2009 ingawa kitarakimu inaonekana nyingi.
Na hao nao wanakatwa , nilidhani wao haki zao hazigusiki ndiyo maana wanawaweka sawa walalamikaji.Itafika wakati huwezi kudanganya tena kama ilivyo sasa. Polisi wanakatwa pesa, shule za msingi nasikia walimu wakuu wanaitwa wilayani watie saini kuwa wamepokea pesa za MMEM bila kupata chochote, etc,etc.
Mkuu, data zinachakachuliwa ili kumdanganya mlalahoi. Ndiyo sababu watu wte wenye "something upstairs" na mzalendo wa kweli, anaichukia hii serikali. Hakuna uchumi kukua hapa. Tunachokifanya ni kujidanganya na consequences za huu uongo ni mbaya sana. Itafika wakati huwezi kudanganya tena kama ilivyo sasa. Polisi wanakatwa pesa, shule za msingi nasikia walimu wakuu wanaitwa wilayani watie saini kuwa wamepokea pesa za MMEM bila kupata chochote, etc,etc. Slaa alisema kuwa it is a tragedy to let the guy rule for the next 5 years! Tunayaona wenyewe kwa macho sasa. Na hii ni miezi miwili tu tka uchaguzi.
Vyanzo vya mapato kama vipi ndugu yangu gfesto wakati vyanzo vya mapato kama vile migodi yetu ya madini na maliasili nyingine unazozifahamu wewe zote wamegawana watawala wetu pamoja na ndugu zao???? Hii ndo tanzania zaidi ya uijuavyo wewe...............Benki ya dunia ina wasiwasi na deni la taifa kuwa kubwa wakati huohuo Serikali inasema deni bado linakopesheka, hivi Serikali yetu imekosa kabisa namna ya kupata vyanzo vya mapato na kuendesha nchi hadi tuishi kwa kutegemea mikopo ya benki ya dunia?
Mikopo yenyewe ya siri baadae wanasema bungen serikali inadaiwa tilion kadhaa wabunge was ccm wanapiga makofi
Vyanzo vya mapato kama vipi ndugu yangu gfesto wakati vyanzo vya mapato kama vile migodi yetu ya madini na maliasili nyingine unazozifahamu wewe zote wamegawana watawala wetu pamoja na ndugu zao???? Hii ndo tanzania zaidi ya uijuavyo wewe...............