Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Ka povuPale watu wanapopiga kelele kwa viewers 2M wakati mtu ana nyimbo ina hadi viewers 31M.
Ni akili ya vijana wenye wivu,majungu na fitina.
Li povuKuna jipya lipi hapo umeongea ambalo unafikiri Diamond hajalisikia....
Chukua rekodi ya huo wimbo wako ukiwa na siku tatu ulikuwa na views ngapi.Pale watu wanapopiga kelele kwa viewers 2M wakati mtu ana nyimbo ina hadi viewers 31M.
Ni akili ya vijana wenye wivu,majungu na fitina.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo sikwenda kazini jirani yangu kafumaniwa na mkewe, dada nikamsikia anapayuka atalala na wanaume majirani wote amkomoe. Hivi hapa nimekaa mlango wazi nasubiri zamu yangu.
Huoni kuwa mwanaume kuandika ivyo ni ushoga?