M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,852 Reaction score 35,620 May 12, 2014 #1 Nisiwachoshe sans huu ndo ugonjwa mpya wa kiongozi huyo ambaye amedengua au amekataa kuwaachia wasichama wale mateka
Nisiwachoshe sans huu ndo ugonjwa mpya wa kiongozi huyo ambaye amedengua au amekataa kuwaachia wasichama wale mateka
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 May 13, 2014 #2 Arovera said: Nisiwachoshe sans huu ndo ugonjwa mpya wa kiongozi huyo ambaye amedengua au amekataa kuwaachia wasichama wale mateka Click to expand... Ahaaa! Magonjwa yanaongezeka! Tanzania tuna Dengue, Nigeria kuna Dengua. Ila tofauti niionayo ni kwamba huo wa tanzania unaambukiza, wa Nigeria hauambukizi!
Arovera said: Nisiwachoshe sans huu ndo ugonjwa mpya wa kiongozi huyo ambaye amedengua au amekataa kuwaachia wasichama wale mateka Click to expand... Ahaaa! Magonjwa yanaongezeka! Tanzania tuna Dengue, Nigeria kuna Dengua. Ila tofauti niionayo ni kwamba huo wa tanzania unaambukiza, wa Nigeria hauambukizi!
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,871 Reaction score 124,016 May 13, 2014 #3 Ugonjwa sio kitu cha kufanyiwa utani.
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 14, 2014 #4 Huyu kiongoz wa boko naye anadengua kuwarudisha mateka ..
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 May 14, 2014 #5 asa jaman si tutaisha
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 14, 2014 #6 Mmmmmmhhhhhh!!!!!!! mankam said: asa jaman si tutaisha Click to expand...
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,586 Reaction score 7,067 May 16, 2014 #7 MankaM said: asa jaman si tutaisha Click to expand... kwan dalili ni zp jaman