figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,177
- 64,552
hivi taifa star na chipolopolo wanacheza lini?. naskia kabla ya mechi kutakuwepo na mashindano ya kunywa bia pale tcc chang'ombe. nani mwenye taarifa?. mia
wewe eeka umeanza lini kupenda wake za watu?
sachi gugo utapata taarifa zaidi...... Hamsini!!!!!!!!
Baba V hebu ulizia vyema maana naona kuna harufu harufu ya dam hapa inapita na naona kuna mtu anataka atolewe dam hivi hivi na xmass hiii
Mmmhh shiiiiiiiiiiiiiii funika kabla hajaona huyo mzee