Demu wangu wa zamani

Demu wangu wa zamani

Umeanza sekondari '98 halafu unaomba ushauri kwa swala kama hili? Unajisikiaje ukijua kua niliyeanza sekondari 2010 sioni tatizo hapo la kuomba ushauri?

Ndiyo kusema mtu akizeeka anarudi utoto?

Au uko bize na majukumu hata muda wa kufikiria vitu vidogo kama hivi hauna?
hahaha seriously hujawahi niangusha post zako!.. hahahh you made my day!.
 
Kwani mwanamke yupo peke yake dunia hii mpaka afikirie kuwa muda wowote atakaokuhitaji atakupata? Move on man the world is too wide for you to explore..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom