Demu wangu mpya

usiwahurumie tu ukaishia hapo, wasomeshe mpaka elimu ya juu kabisa ili wafanye kazi ikulu, labda hili jogoo la kiume likiwaona litawaoa bila kuleta uzi hapa.
sawa baba nimesikia! Nitakaza uzi ikiwezekana wawe marais kabisa, lolest!
 
kijana acha ujinga wako. mke ni wako ama wetu?? kumbuka mke ni mtu ambaye unatakiwa umchague wewe coz ndo mtu utakayeishi naye maisha yote, usiku na mchana upo naye. so suala la kuomba ushauri kama anafaa ama hafai ni upuuzi wa hali ya juu. mchunguze mwenyewe kulingana na vigezo ulivyojiwekea then ukiona anafaa weka kitu ndani regardless ni barmaid ama house girl.:yo:
 

kwanza ulivomuita (demu) tu ushanboa
 
Sikutegemea swali kama hili!

 
Huyu co mke wangu ni g/friend wngu....simkosei heshima ila ni sehem tu ya kubadishana mawazo na kujifunza....
 
cacico samahan kwa ku2mia neno demu na wala sina neno na kazi yake...tatizo ni ratiba yake ya kazi...ongelea hilo tafadhali...
 
Last edited by a moderator:
dem ni wako ni wako tu, we unataka atoke maeneo flani ili masela wakusifie alafu wats next?
 
Na bado unajiita Jogoolakiume!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…