Jogoolakiume
Member
- Mar 8, 2013
- 15
- 4
Hivi wadada wahudumu wa Lounges, Restaurants n.k ndio hawapaswi kuwa na wapenzi?
Baada ya kukaa bila msichana kwa muda mrefu kdogo nimeamua kuwa na demu lakini tatizo linakuja pale ninapotaka kumtambulisha kwa washikaji nashindwa coz anafanyakaz kwenye lounge moja hapa mjini na sometimes anaingiaga ucku ......ila nampenda tatizo ni hzo ratiba zake....eti wadau niendelee kuwa nae...?

Mbona unachekesha kijana, hivi kuwa na mpenzi anayeingia night ndo imekua kikwazo cha wewe kutomtambulisha kwa marafikizako? Hapo naona kuna kitu kingine ambacho unahofia zaidi ya hicho ulichotuambia.
Kwani watu wanaoingia night hawatakiwi kuwa na wapenzi?
Mbona walinzi wanaingia night na bado wana wake na watoto wamewaacha nyumbani?
Mkuu nimegundua kitu kimoja, huyu Jogoolakiume inaonekana anakaa kwao, halafu washkaji zake ni wanakaa gheto afu ma'player, so anahofia watamsaidia. Akiwaambia tu, wanaanza kumsindikiza huyo dem kurudi hom kisha mengine yanafata...
Mkuu hoja yako imetulia. Huyo anatujaribu tu, atuambie ukweli huyo demu anafanya kazi gani isije kuwa anaiita Kimboka lounge.Mbona unachekesha kijana, hivi kuwa na mpenzi anayeingia night ndo imekua kikwazo cha wewe kutomtambulisha kwa marafikizako? Hapo naona kuna kitu kingine ambacho unahofia zaidi ya hicho ulichotuambia.
Kwani watu wanaoingia night hawatakiwi kuwa na wapenzi?
Mbona walinzi wanaingia night na bado wana wake na watoto wamewaacha nyumbani?
Sasa ukimuacha ataolewa na nani acha utoto kama ana mapenzi na wewe ya ukweli we oa.Baada ya kukaa bila msichana kwa muda mrefu kdogo nimeamua kuwa na demu lakini tatizo linakuja pale ninapotaka kumtambulisha kwa washikaji nashindwa coz anafanyakaz kwenye lounge moja hapa mjini na sometimes anaingiaga ucku ......ila nampenda tatizo ni hzo ratiba zake....eti wadau niendelee kuwa nae...?
Baada ya kukaa bila msichana kwa muda mrefu kdogo nimeamua kuwa na demu lakini tatizo linakuja pale ninapotaka kumtambulisha kwa washikaji nashindwa coz anafanyakaz kwenye lounge moja hapa mjini na sometimes anaingiaga ucku ......ila nampenda tatizo ni hzo ratiba zake....eti wadau niendelee kuwa nae...?
Hivi wadada wahudumu wa Lounges, Restaurants n.k ndio hawapaswi kuwa na wapenzi?
Usiwahurumie tu ukaishia hapo, wasomeshe mpaka elimu ya juu kabisa ili wafanye kazi ikulu, labda hili jogoo la kiume likiwaona litawaoa bila kuleta uzi hapa.Wanangu wa kike nawahurumia!! Kazi ipo wallah!
wanapaswa kuwa na wapenzi ndio,lakini wapenzi wanaoendana na kazi zao.hao wanawafaa ma-bar manager wao,wanakesha nao huko huko!sasa wewe afisa wa benk unarudi nyumbani na uchu wako mwenzako ndio anaingia kazini!
kama ni yule wa sports lounge,go on she is damn pretty na kapiga machizi kibao za mbavu lol
na pale sports lounge kuna wahudumu wazuri ile kichizi