kingine ni kwamba inawezekana hakua na mimba bali alikuchezea tu ukajitambulishe!Hapo hakuna mapenzi ndugu yangu. Maana hakuwa na sababu ya kutoa mimba yako wakati wewe tayari ulikuwa umeonesha commitment ya kuwa na stable relationship nae ambayo ingepelekea ndoa.
Hapo nahisi pana walakini kwa upande wako.
Ushauri wangu mkuu ni kuwa wewe anza kujipanga kabla hujalia na kusaga meno.
Huo ni ushauri tu, wawezachukua au acha maana mwisho wa siku wewe ndio muamuzi mkuu.
Halafu kumbe ni demu?? Mi nilidhani mchumba au mke!!
Hapo hakuna mapenzi ndugu yangu. Maana hakuwa na sababu ya kutoa mimba yako wakati wewe tayari ulikuwa umeonesha commitment ya kuwa na stable relationship nae ambayo ingepelekea ndoa.
Hapo nahisi pana walakini kwa upande wako.
Ushauri wangu mkuu ni kuwa wewe anza kujipanga kabla hujalia na kusaga meno.
Huo ni ushauri tu, wawezachukua au acha maana mwisho wa siku wewe ndio muamuzi mkuu.
Nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2 .Alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa ila juzi ana nitumia text kuwa ametoa mimba sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp na je niendelee na mipango ya ndoa au lah .ushauri wenu ni muhimu sana wandugu
aliona kuwa ua not deserve to be a fathernipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2 .alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa ila juzi ana nitumia text kuwa ametoa mimba sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp na je niendelee na mipango ya ndoa au lah .ushauri wenu ni muhimu sana wandugu
Nakubaliana na wewe kabisa lakina uaminifu ulikuwepo ndani ya muda huo?Nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2
Wewe ulithibitishaje uwepo wa hiyo mimba kama ni yako?Alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa
Hilo ulipaswa kulijua mapema kabla ya kuchukua maamuzi ya kuingia kwenye uchumba na kupeleka posasasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp
Kama hilo swala linakufurahisha na lina manufaa kwako au ndo mpango na msingi wenu wa mapenzi basi usikubali posa yako ipite hivi hivi mpaka kieleweke.na je niendelee na mipango ya ndoa au lah