Nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2 .Alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa ila juzi ana nitumia text kuwa ametoa mimba sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp na je niendelee na mipango ya ndoa au lah .ushauri wenu ni muhimu sana wandugu