Demu wangu katoa mimba yangu kweli aninipenda au ?

nusfati

Member
Aug 28, 2013
40
8
Nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2 .Alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa ila juzi ana nitumia text kuwa ametoa mimba sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp na je niendelee na mipango ya ndoa au lah .ushauri wenu ni muhimu sana wandugu
 
Halafu kumbe ni demu?? Mi nilidhani mchumba au mke!!
Hapo hakuna mapenzi ndugu yangu. Maana hakuwa na sababu ya kutoa mimba yako wakati wewe tayari ulikuwa umeonesha commitment ya kuwa na stable relationship nae ambayo ingepelekea ndoa.
Hapo nahisi pana walakini kwa upande wako.
Ushauri wangu mkuu ni kuwa wewe anza kujipanga kabla hujalia na kusaga meno.
Huo ni ushauri tu, wawezachukua au acha maana mwisho wa siku wewe ndio muamuzi mkuu.
 
Ktk hesabu zake amepunguza watoto wa mitaani. Ila atakuwa ameshauriwa na wenzie, na ww inaonekana hukuwa siriazi na uzao ujao.
 
Hapo hakuna mapenzi ndugu yangu. Maana hakuwa na sababu ya kutoa mimba yako wakati wewe tayari ulikuwa umeonesha commitment ya kuwa na stable relationship nae ambayo ingepelekea ndoa.
Hapo nahisi pana walakini kwa upande wako.
Ushauri wangu mkuu ni kuwa wewe anza kujipanga kabla hujalia na kusaga meno.
Huo ni ushauri tu, wawezachukua au acha maana mwisho wa siku wewe ndio muamuzi mkuu.
kingine ni kwamba inawezekana hakua na mimba bali alikuchezea tu ukajitambulishe!
 
we jiongezee tu nadhani jibu unalo..... ameona huna uwezo wa kulea huyo mtoto... though kafanya dhambi
 
Angekushirikisha ww ingekuwa vizuri zaidi
Halaf sis hatuwez jua kuwa anakupenda wewe muite mzungumze mnae utoe ya moyon mwako umsikilize maelezo yake kwa umakin

Vitu vingine sio vya kuomba ushaurii wakati mhusika yupo karibuu
 
mambo ya kusikia story ya upande mmoja halafu utoe ushauri ni ngumu kweli . coz umesimulia as if wewe huna wala hukuwa na tatizo lolote na yeye. ukute kuna mengi yamejificha kati yenu ambayo hujataka kuyaeleza hapa. halafu huwezi kutuuliza sisi kama huyu sijui ndio demu wako kama anakupenda sisi hatuwezi ingia moyoni mwake na hatumjui ww ndie unaemfahamu huyo mwenza wako. so kakae naye uzungumze naye
 
C ndo tabia yenu vijana,usikia demu wako ana mimba yako unakata mguu hamna mawasiliano. kazi kutamba tu kwa vijana wenzio nimepachika mzigo pale.huyo dada hajafanya kosa big up.
 
DEMBA nje na sababu ya kiafya ambayo sijui kama mtaka ushauri amechunguza, HAKUNA, HAKUNA, HAKUNA sababu nyngne ya kutoa mimba. Raha mpate nyie (wapenz) mateso mumpe mtoto!! Hapana DEMBA hatakama jamaa alikuwa na matatzo dunia, bado haihalalishi unyama wa huyo mwanamke (kama kweli alikuwa nayo, na kama kweli aliitoa)
 
Last edited by a moderator:
Halafu kumbe ni demu?? Mi nilidhani mchumba au mke!!
Hapo hakuna mapenzi ndugu yangu. Maana hakuwa na sababu ya kutoa mimba yako wakati wewe tayari ulikuwa umeonesha commitment ya kuwa na stable relationship nae ambayo ingepelekea ndoa.
Hapo nahisi pana walakini kwa upande wako.
Ushauri wangu mkuu ni kuwa wewe anza kujipanga kabla hujalia na kusaga meno.
Huo ni ushauri tu, wawezachukua au acha maana mwisho wa siku wewe ndio muamuzi mkuu.

km una akili timamu huu ndo ushauri
inshot piga chini
 
sasa ni mwendo wa kugegeda tuu na kama ameweza toa mimba huyo ukimuomba tigo atakupa
 
Nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2 .Alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa ila juzi ana nitumia text kuwa ametoa mimba sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp na je niendelee na mipango ya ndoa au lah .ushauri wenu ni muhimu sana wandugu

Lord have a mercy
 
nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2 .alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa ila juzi ana nitumia text kuwa ametoa mimba sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp na je niendelee na mipango ya ndoa au lah .ushauri wenu ni muhimu sana wandugu
aliona kuwa ua not deserve to be a father
 
Alisema ana mimba.....!!!!

Je una hakika kama kweli alikuwa na mimba???uenda huyo demu alikuwa anakupima je akipata mimba ni hatua gani utakazozichukua,je utasepa au itakuwaje!!!!

Uwezekano mkubwa kuwa hakuwa na mimba......na kama alikuwa nayo bas amekuona garasa!!!
 
Nipo kwnye mahusiano nae yapata miaka 2
Nakubaliana na wewe kabisa lakina uaminifu ulikuwepo ndani ya muda huo?
Alisema anamimba yangu tukakubaliana nipeleke posa kwao ili tufunge ndoa kabla ya mimba kuwa kubwa
Wewe ulithibitishaje uwepo wa hiyo mimba kama ni yako?
sasa sielewi kama kweli alikuwa ananipenda au vp
Hilo ulipaswa kulijua mapema kabla ya kuchukua maamuzi ya kuingia kwenye uchumba na kupeleka posa
na je niendelee na mipango ya ndoa au lah
Kama hilo swala linakufurahisha na lina manufaa kwako au ndo mpango na msingi wenu wa mapenzi basi usikubali posa yako ipite hivi hivi mpaka kieleweke.
 
Sio busara kuja kumtangaza humu jf!Mfuate yy mkaongee yote kwa kina kwan humu jf kuna watu watakuambia piga chn wkt wewe umekufa umeoza na ukikutana naye utaanza kulia lia!SIJAWAHI KUONA AU KUSIKIA KUWA 'DEMU'ANATOLEWA MALI!!!KAREKEBISHE THREAD YAKO KM UNATAKA MCHANGO MZURI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom