mchambuzi gani unanicheka badala ya kunichambulia mambo hapoJamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.
Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.
Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.
Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.
Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
yes mchambuzi upo sahihi, maana huwezi jua na yule men anayekuja pale ana dem huko anapotoka "MZUNGUKO HUO" bora kumchana nimejua na aendelee naye tu kama ananiona suger dady basi imeishia hapo.Chief tulia na mke wako utapeleka virusi kwenye familia yako hivi punde.
Unasema unampenda kidogo sio sana lakini maongezi yako yanaonesha umekufa umeoza kwa mchepuko wako, lolJamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.
Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.
Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.
Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.
Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
Hahahaaaaa mkuu unakuwa na wivu na mchepuko????? Hauko seriousJamani mademu hawa mhhh, nina kimchepuko changu mitaa ya majengo, kwa kweli nampenda kiasi yeye ameachika kwa mumewe na anaishi na katoto kake kamoja na mimi nina mke wangu na watoto wawili nyumbani.
Sasa huyu mwanamke nampenda kiasi sio saaana kama navyompenda mke wangu sasa nimegundua ananisaliti, ana bwana mwingine tena, nimeona hii kama mara mbili nyumbani kwake.
Nilimshusha kwa gari yangu nikaondoka nikaenda sehemu nikapaki nikiwa naangalia nyumba yake ikaja gari nyingine ikamchukua nikamwambia ikawa ugomvi sana, sasa jana tena nimemshusha saa 2 usiku nikahisi kuna mtu atakuja kumchukua nikajibanza sehemu nikamuangalia jamaa akaja akamchukua akaondoka, nikasogea hadi chumbani kwake nikapiga simu akapokea anasema anaoga wakati mimi nipo nje ya chumba chake na chumba kina choo cha ndani na kote gizaaaa wala hakuna purukushani za kuoga. Nikamwambia haya ukimaliza nipigie, hakunipigia na mimi sikuondoka hadi saa 5 usiku nikakaa sehemu namsubiria nikiwa na kinywaji changu taratibuuuu.
Kweli alirudi nikamuangalia sikumuuliza. Sasa tatizo ni kwamba kulikuwa na giza kama aliniona vile akaingia zake ndani, kesho akanambia nimekuona ulijificha kwa nini?? Nikamwambia siyo mimi na kama uliniona ulikuwa unatoka wapi na mimi nilikurudisha nyumbani? Story zikaishia hapo hatujaongea ila ameomba tuonane tuongee kesho jioni.
Sasa swali niendelee na msimamo wangu sijafika kwake usiku saa 5 au nimwambie black and white nimemuona tangu amechukuliwa hadi karudishwa na wakati anasema anakoga mimi ndo nilikuwa nje dirisha la bafu lake? Embu nisaidieni
DUH, we mtu nimekuelewa sanaaaaaaaaaHuyo mchukulie ni malaya.....na ndio ukweli pole!
jamaa anayemchukua anamchukulia ni malaya ndo maana ukimrudisha anakuja kumchukua plus dem yupo free mda wote kuongea na simu
huyo ni kimada...we mkaushie endelea kumla na usimchunguze...utaumia ww jua mpo wengi...unafkiri maisha yake na mtoto wake yataendeshwaje?
halafu kama umeoa na hauna experience ya wanawake utaumia sana...wife ataliwa,kimada ataliwa utabaki kichaa....
treat mke kama mke...na kimada abaki kimada...tena mchukulie kama malaya
halafu ulishawahi kujua kwann huyo mwanamke kaachwa kwenye ndoa yake? tofauti ya anavyokuambia?
acha kuchunguza we mle..siku ukichoka mle rafki ake
yeah am normal sometimes ukitaka ukweli ili ujikwamue lazma uumie kidogo, nafurahia kitendo changu sababu nimejua ukweli na sasa nipo huru sana.Una mke na watoto wawili ila mchepuko ambaye ni mzigo wa watu wengine tena single motheee anakuweka nje usiku ukimvizia kama sungusungu uone karudi kwake saa ngapi?
Are you normal!?
we una dem mmoja??? au unasema tu
Ndiowe una dem mmoja??? au unasema tu