Si umeona mkuu, vitu vidogo vinawatoa sana fahamu.Kuna siku miadi imepangwa kila kitu tuonane saa 1 jioni sasa sikuwa na uchawi wa miguu minne siku hyo si nikatoa taarifa kuwa nakuja nadaka daladala..
Conversation ikawa hivi..
Mimi: si umejiandaa
Yeye: ndio njoo
Mimi: poa nadaka daladala hapo chaap nafika
Yeye: heeh daladala tena??
Mimi: ndio, usafiri pancha na sina hela ya kufanyia service..
Yeye: heeh mi nilijua unakuja na gari, sasa na basi si nitakutesa mpaka huku.
Mimi: hamna siteseki nshaamua naja so usiwaze
Yeye: daah kama huna gari let's arrange another day sa hivi utachoka tu na jioni hii....
Mimi: (huku nsha mind) sasa anayechoka mimi au wewe?? Naja usiwaze
Yeye: aah nsha arrange ratiba nyingine
Mimi: kimya( mpaka leo miezi mi3 akinitafuta nipo busy tu na mimi)
Shida sana....
Si umeona mkuu, vitu vidogo vinawatoa sana fahamu.
Ukienda na Corola ataanza mimi nilijua unapush Q7? wakati baba yake mzazi hana ujanja wa kumiliki hata baiskeli
Bora mkuu ulivyompotezea mwizi tu huyo, tena umemwonesha kuwa wewe ni muwazi unapanda daladala yeye anataka makuu. Angalia yako asikuumize kichwa
Sasa hvi tunatakiwa tuishi kwa akili na ujanja sana na hawa viumbe... KATA FUNIKA...... Fanya jitihada piga mara moja akianza kukuomba mpe ahadi hata ya siku mbili baada ya hapo weka blacklist........ Utaumizeje kichwa na mtu usiyemzaa??........
kuna maza angu mdogo alikuwa anachagu wanaume huyo wenye magar yan ful selector ampaka leo 40yrs kaishia kuzalshwa katoto ka1 hana jipya na monopause ndio hyo
wanawake acheni tamaa na vizinga vya kishamba.
ndio mana tukshawagegeda tunawatupa kama haja
Mimi ugonjwa wangu kuhonga
Hiyo imetulia Mkuu Engineer Mzalendo! Kuna mmoja nilikutana maeneo. Kwa muonekano ni mstarabu nikavutika nikamuapproacha, akaniambia kesho yake anasafiri kwenda Arusha, tukapiga story siku hiyo na kunywa sana bia,tukaagana kwa makubaliano kuwa tutaonana akirudi.
Siku 3 mbele napokea simu yake,ananiambia ndio anajiandaa kurudi kwa hiyo anaomba nimtumie nauli na hela ya kununua zawadi na atafikia kwangu jumla 150,000/=.
Tumekutana siku 3 tu zilizopita hata hanifhamu vizuri, kabla yangu ameomba wangapi, amekuwa akiishi maisha gani?
Wanawake wengine wanajishusha hadhi sana wanapoyachukulia Mapenzi na utu wa mwanaume katika pesa, hata kama ninacho usinifanye poyoyo au suluhisho la dhiki ulizonazo au ngazi ya kutafutia hadhi!
kuna maza angu mdogo alikuwa anachagu wanaume huyo wenye magar yan ful selector ampaka leo 40yrs kaishia kuzalshwa katoto ka1 hana jipya na monopause ndio hyo
wanawake acheni tamaa na vizinga vya kishamba.
ndio mana tukshawagegeda tunawatupa kama haja