Demu wa vibomu


Halafu havina aibu kabsa....
 
Sasa hvi tunatakiwa tuishi kwa akili na ujanja sana na hawa viumbe... KATA FUNIKA...... Fanya jitihada piga mara moja akianza kukuomba mpe ahadi hata ya siku mbili baada ya hapo weka blacklist........ Utaumizeje kichwa na mtu usiyemzaa??........

Mpaka upate wa kuoa unakuta una kosta nzima umejaza !!!! Kata funua kata funua
 
Wizi mtupu

Kuna siku miadi imepangwa kila kitu tuonane saa 1 jioni sasa sikuwa na uchawi wa miguu minne siku hyo si nikatoa taarifa kuwa nakuja nadaka daladala..
Conversation ikawa hivi..
Mimi: si umejiandaa
Yeye: ndio njoo
Mimi: poa nadaka daladala hapo chaap nafika
Yeye: heeh daladala tena??
Mimi: ndio, usafiri pancha na sina hela ya kufanyia service..
Yeye: heeh mi nilijua unakuja na gari, sasa na basi si nitakutesa mpaka huku.
Mimi: hamna siteseki nshaamua naja so usiwaze
Yeye: daah kama huna gari let's arrange another day sa hivi utachoka tu na jioni hii....
Mimi: (huku nsha mind) sasa anayechoka mimi au wewe?? Naja usiwaze
Yeye: aah nsha arrange ratiba nyingine
Mimi: kimya( mpaka leo miezi mi3 akinitafuta nipo busy tu na mimi)
Shida sana....
 

hapa raha tu shida kwenu... mwambie anunue lake
 
Honga usipende vya bure mtoto wa kiume

Kuhonga ndo uanaume wenyewe
 
Mimi ugonjwa wangu kuhonga
 
Honga usipende vya bure mtoto wa kiume

Kuhonga ndo uanaume wenyewe

Daaaah kaka kwa mtindo huu umasikini nje nje mtu haangalii hali halisi ye ni kukandamiza.....
Tutakua hatujengi mjini hapa.....
 
Serikali iongeze wigo wa mapato kwa kutoza kodi kwenye vibomu.
Kwa makadirio serikali watakusanya kiasi kinachofikia trilioni 1 kwenye mwaka huu wa fedha.
 
khaa mie nduki mbaaayaaa hata nyuma sigeuki.... mademu wa mizinga...
 
Honga usipende vya bure mtoto wa kiume

Kuhonga ndo uanaume wenyewe

sisemi wapewe bure Ila siku hizi wamezidi sana.... mizinga haishi mpaka mtu unaweza jikuta wavaa suruali kichwani kwa stress...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…