Demu wa masaki

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Dem fulani wa masaki aliingia box ya Janja ...wakiwa
wanakiss,Janja ananote dem hafungi macho..anauliza
dem..."hufungi macho,kwani haufeel kissez zngu?...dem
akamjibu..."Jj si hivyo last tym nilifunga macho
ukinibusu nikapoteza pesa kwenye poch yangu!"...
[/h]
 
Dah, kwa hyo kumbe wkt demu anackilizia stimu za kisses za msela. Msela anapg ndole kwny mfuko wa demu. Huyo janja atakuw ni wale wezi wa kwny mabasi ya Mwananyamal-Ubungo au Ubungo-Msasani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom