Demu kaniaribia siku

Demu kaniaribia siku

Ulizubaa mno, ilitakiwa utumie mbinu mbalimbali kubaini ukweli palepale, ungeingia hata kwa kushtukiza hicho chumba ona sasa unavyoteseka kwa mawazo na jakamoyo.
 
Nakushauri siku nyingine mambo ya afya ya mpenzi wako ni jambo la wote hivyo haikuwa vema kumuacha amuone daktari peke yake kwani hakuna siri kati yenu. Kwa sasa lipotezee suala hilo litakupotezea muda sana.

Asante kwa ushauri
 
Naamini kwenue hospital kuna manesi pia ss fanya kuchukua na ww nesi mmoja muwe mnabadilishana maongezi kwa mda mrefu..

Tena kale ka mapokezi kauri kweli halafu kanaonesha kanajitambua
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu walau nimepata faraja sasa
 
Wewe umempataje wenzako washindwe?

Wacheni uzinzi oaneni.
 
So unahisi dr na mpenzi wako walikuwa wameunganisha vikojoleo au?

Hahahahaha! I love reading comments za watu humu. Kha! Vichaa tupo wengi kwa kweli. You made my night
 
Alikuona we jinga umejirudisha mwenyewe so alikuwa anakuonesha kuwa yeye bingwa. Hakufai huyo kimbia sio kutembea.
 
we endelea kutafuta mwingine hapo umesukiwa mpango wa kukuangamiza...kwanza kwanini urudi kwake.???
 
Siku za hivi karibuni niliweka uzi wa kutaka mchumba pale UCC (UDSM) lakini nikautoa baada ya kuona nasumbuliwa na wadau (pm) nikafanya maamuzi ya kumrudia mpenzi wangu tuliyebwagana mwezi Oct 2014 kutokana na ubabe wake katika maamuzi ya pamoja na kutaka kunitalawa kifkira na kiuchumi pia; nilifanya maamuzi ya kumrudia kwa kuhofia kuanza kuzoea penzi jipya alihali yeye tayar nimeshamzoea pamoja na madhaifu yake. Nilifika home kwao kwa muzungumzo zaidi na kisha kukubaliana twende kituo cha afya tupime HIV, tumefanya hivo na wote tupo salama sasa kilichoniumiza zaidi ni pale alipohitaji kumuona daktari kwa tatizo jingine, baada ya kuingia chumba cha daktar masaa yaliyoyoma na mm nikimsubiri ktk kiti cha wagonjwa nikapatwa na hofu kinachoendelea humo ndani kibaya zaidi wahudu wa mapokezi na chumba cha dawa walikuwa wakitizamana na kisha kunitizama mm nilipokaa alihali kuna kitu fulani walikuwa wanaashiria; badae akatoka nikalipa bill na kumrudisha home kwao na mm kusepa kwa hasira(Maumivu)

Msaada wana jf, kweli kwa mazingira haya palikuwa na usalama kweli!? Japo nimemuuliza akadai dk alikuwa anachukua maelezo.

Nawasilisha: utani, kejeli havitanisaidia plz.
Acha wivu wa kike wewe. Ina maana kama daktari ana mahusiao na huyo''mgonjwa''wa moyo wako atashindwa kumpeleka hotelini mpaka asubiri siku umemsindikiza hospitali? Je;akikuaga anaenda saloni halafu akaenda kwa huyo doctor utajuaje?
 
Back
Top Bottom