Demu kaniaribia siku

Demu kaniaribia siku

Chozy

Senior Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
172
Reaction score
47
Siku za hivi karibuni niliweka uzi wa kutaka mchumba pale UCC (UDSM) lakini nikautoa baada ya kuona nasumbuliwa na wadau (pm) nikafanya maamuzi ya kumrudia mpenzi wangu tuliyebwagana mwezi Oct 2014 kutokana na ubabe wake katika maamuzi ya pamoja na kutaka kunitalawa kifkira na kiuchumi pia; nilifanya maamuzi ya kumrudia kwa kuhofia kuanza kuzoea penzi jipya alihali yeye tayar nimeshamzoea pamoja na madhaifu yake. Nilifika home kwao kwa muzungumzo zaidi na kisha kukubaliana twende kituo cha afya tupime HIV, tumefanya hivo na wote tupo salama sasa kilichoniumiza zaidi ni pale alipohitaji kumuona daktari kwa tatizo jingine, baada ya kuingia chumba cha daktar masaa yaliyoyoma na mm nikimsubiri ktk kiti cha wagonjwa nikapatwa na hofu kinachoendelea humo ndani kibaya zaidi wahudu wa mapokezi na chumba cha dawa walikuwa wakitizamana na kisha kunitizama mm nilipokaa alihali kuna kitu fulani walikuwa wanaashiria; badae akatoka nikalipa bill na kumrudisha home kwao na mm kusepa kwa hasira(Maumivu)

Msaada wana jf, kweli kwa mazingira haya palikuwa na usalama kweli!? Japo nimemuuliza akadai dk alikuwa anachukua maelezo.

Nawasilisha: utani, kejeli havitanisaidia plz.
 
Nahisi Huyo Atakuwa Mgonjwa Si Bure,nenda Kapime Kwingine,ukijikuta u mzima piga chini hakufai.
 
So unahisi dr na mpenzi wako walikuwa wameunganisha vikojoleo au?
 
kama umemkariri nesi,rudi mkalishe umueleze anaweza kukupa majibu ya kilichokua kinaendlea,itauma lakin fanya uende
 
kama umemkariri nesi,rudi mkalishe umueleze anaweza kukupa majibu ya kilichokua kinaendlea,itauma lakin fanya uende

Asante sana kwa ushauri, nimewakalili wote
 
Kitaalam dr anatakiwa na mgonjwa cyo chini ya lisaa kumchukua maelezo

So kwa siku atahudumia wangapi, kwa mantiki hiyo wengine watakosa huduma kabisa
 
Madaktari wa kiume muda mwingine wanakuwa na makusudi sana, kuwaweka wagonjwa wa kike kwa muda mrefu sana huku wakiwe wamejifungia, kila ukigonga utaambiwa kuna mtu. Mara nyingine ukiingia ghalfa utakuta kinachoendelea ndani ni hadithi tu na vicheko.
 
sasa na wewe kwa nini uliacha akaingia mwenyewe...siku nyingine hata akikuambia anaenda chooni jifanye hujasikia uingie naye!!
 
kama umemkariri nesi,rudi mkalishe umueleze anaweza kukupa majibu ya kilichokua kinaendlea,itauma lakin fanya uende

umenena....ili kujitidhisha arudi pale na afanye mahojiano na wale manesi kubaini kaukweli......
 
na wewe kwa nini urudiane na mtu uliyekwisha achana naye bwana...we unadhani alikuwa anakusubiri wewe tu!!wasukuma wa pandagi chiza wana msemo unasema shokashoka okoshokela na yenge!!!
 
Madaktari wa kiume muda mwingine wanakuwa na makusudi sana, kuwaweka wagonjwa wa kike kwa muda mrefu sana huku wakiwe wamejifungia, kila ukigonga utaambiwa kuna mtu. Mara nyingine ukiingia ghalfa utakuta kinachoendelea ndani ni hadithi tu na vicheko.

Inauma sana kwakweli
 
Hicho ndo ninachofikiri, y long time to attend one patient

Naamini kwenue hospital kuna manesi pia ss fanya kuchukua na ww nesi mmoja muwe mnabadilishana maongezi kwa mda mrefu..
 
So kwa siku atahudumia wangapi, kwa mantiki hiyo wengine watakosa huduma kabisa

Nakushauri siku nyingine mambo ya afya ya mpenzi wako ni jambo la wote hivyo haikuwa vema kumuacha amuone daktari peke yake kwani hakuna siri kati yenu. Kwa sasa lipotezee suala hilo litakupotezea muda sana.
 
sasa wewe ujasema kakaa muda gani??

alafu inakuaje usijue mpenzi wako anaumwa nini wala ujamuuliza ilihali umeenda nae hospital
are you ok??
 
na wewe kwa nini urudiane na mtu uliyekwisha achana naye bwana...we unadhani alikuwa anakusubiri wewe tu!!wasukuma wa pandagi chiza wana msemo unasema shokashoka okoshokela na yenge!!!

huyu jamaa kajitakia mwenyewe..mtu kaachana nae , anarudi kujilengesha tena!
 
Back
Top Bottom