Demu kama huyu unamchukuliaje?

Demu kama huyu unamchukuliaje?

Kuna mmoja sikujua kama ana mtoto mkubwa kabisa kwanini huwa hawapendi kusema ukweli
Ni kwa sababu ya namna ambavyo jamii inawachukulia, jamii ikiacha kuwachukulia vibaya basi hata wao watakuwa na uhuru wa kusema ukweli
 
Kwa aina hii ya enzi zetu unatongoza demu miezi 6 hata kumgusa chuchu hakuna na unamuimbisha dizaini hizi za Vijana kupata kipochi ilikuwa NO ungekomea kuziona kwenye picha, chabo au kwenye porno movie. Si ujinga uliouliza. Unataka tukufundishe , ina maana hata wakati wa kupanua tutakufundisha?
Nimekuquote kwa bahati mbaya nilitaka nimquote huyo wa juu yako
 
Kuna demu alkuwaga hvo ila hyo namba 6 sijui kama alkuwa anafanyaga hvo,tulkuwa tunaonana usiku tu tena kwenye Giza ila baadae alianza kuwa na Mimi hata kwenye mwanga ila n usku tu,nilmvumilia sana kwa vile alkuwa mzuriiiii sanaaaa,ila baadae nilchoka nkamfanya kama mshkaj nkawa nakutana nae kwa ajili ya story na kuuona uzuri wake maana kugegedwa aligoma akawa anasingizia mpaka tufunge ndoa,sku moja kankuta na demu mwingne mtaan tukapshana nae kmya kmya ila baadae alianza kusumbua kwa kupga sm na sms anataka tuonane mpaka usiku nkaamua kuzima sim,sku moja nkakutana nae nkamweleza nilishndwa kuvumilia kufa na nyege,ila nilimwomba msamaha mahusiano ya kukutana na kupga story yakaendelea ila safar hii akawa hatak hata nmshike,mwsho Wa sku mi nkshama maeneo hayo tumebakza kuchat kwenye sm
Uljiongeza mapema, Eti hadi ndoa wakati wengine wanapenyeza , 😀😀😀
 
Ni kwa sababu ya namna ambavyo jamii inawachukulia, jamii ikiacha kuwachukulia vibaya basi hata wao watakuwa na uhuru wa kusema ukweli
Mkuu naomba ufafanuzi kivipi wakati anaweza kusema private tu ni hivi na vile
 
Eti kutongoza ukubwani..aliyekwambia mm nimeanza kutongaza juzi nani?
Aisee mzee baba,mm ni expert kinoma,usinihukumu na hata hunifahamu.....wewe cha muhimu hapo jibu kama uzi ulivyouliza acha kurukaruka kama digidigi!!

Hamna braza umefeli. Yaani kwa sisi wazoefu hilo swali ulilouliza tu unaonekana wewe ni mgeni wa wanawake. Inawezekana ulianza kutongoza toka ulipobalehe lakini mpaka leo bado hujajua kutongoza.

Mtu ukishagonga wanawake kama 20 hivi huwezi kuuliza maswali ya kizembe kama haya uliyouliza.

Maswali ambayo makonki tunaulizaga ni kama vile, "Hivi mitaa hii wapi kuna guest ya short-time?"
 
Back
Top Bottom