Demu kama huyu unamchukuliaje?

Demu kama huyu unamchukuliaje?

Ukileta ni tag.....
Huyu demu ni wa mshikaji wangu ila na mm kesho au keshokutwa ntaleta tukio lililonitokea mwaka jana,utanionea huruma bro..acha tu sitaki hata kukumbuka ila nilimwachia MUNGU tu.
 
Anakitu gani ambacho wengine hawana ?? Labda minyama zembe
 
huyo pichani ndio mwenye hizo tabia zenye umeandika?
 
Demu kama uyo dawa yake tafuta rafiki yake mkali alafu mtongoze piga mashine alafu fanya ajue
 
Nimeachana na mbulula kama huyo miezi 6 ilopita, na wala sijutii lakini akiingia kwenye zone zangu.Nakula mzigo kama kawa ila mapenzi hakuna tena.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Daaahhh na kwl mkuu......yaani mm huwa nashindwa kuelewa wanawake ukimpenda kwa moyo wako wote na kumthamini anakuona fala,pia usipompenda na kumthamini pia anakuona fala...daahh sasa mtu unashindwa uwe vipi
Wengine wanakumbuka hayo wakat mda umeenda
 
Japo mie ni mwanamke, lakini huyo dada pichani ni mzuri wa "structure" lakini usoni isingekuwa vipodozi anaonekana sio mrembo kihiiiivyoooooo!!!!
 
Mmmmm mbona sifa ulizotaja zote ni sifa za li nyau na wala sio demu
 
Kuna demu alkuwaga hvo ila hyo namba 6 sijui kama alkuwa anafanyaga hvo,tulkuwa tunaonana usiku tu tena kwenye Giza ila baadae alianza kuwa na Mimi hata kwenye mwanga ila n usku tu,nilmvumilia sana kwa vile alkuwa mzuriiiii sanaaaa,ila baadae nilchoka nkamfanya kama mshkaj nkawa nakutana nae kwa ajili ya story na kuuona uzuri wake maana kugegedwa aligoma akawa anasingizia mpaka tufunge ndoa,sku moja kankuta na demu mwingne mtaan tukapshana nae kmya kmya ila baadae alianza kusumbua kwa kupga sm na sms anataka tuonane mpaka usiku nkaamua kuzima sim,sku moja nkakutana nae nkamweleza nilishndwa kuvumilia kufa na nyege,ila nilimwomba msamaha mahusiano ya kukutana na kupga story yakaendelea ila safar hii akawa hatak hata nmshike,mwsho Wa sku mi nkshama maeneo hayo tumebakza kuchat kwenye sm
 
Acha kuwa king'ang'anizi mkuu!hapo haupendwi
Hivi kwa mtazamo wako tu, unamchukuliaje demu ambaye ana tabia kami hizi na anadai anakupenda kwa dhati na ukimwambia ajirekebishe anaomba msamaha na kuahidi harudii tena ila baada ya muda anarudia. Na pia ukiamua kumuacha analia sana na kuonyesha kudhoofika sana, kila wakati anatuma marafiki kumwombea msamaha, meseji za msamaha na kupiga simu kuomba msamaha kila wakati ila ukimsamehe anarudia tena.....yaani demu mwenye tabia hizi;

1. Ambaye ukipanga kuonana nae kila wakati anadai yupo busy.
2. Ambaye hataki kabisa uguse simu yake
3. Ambaye ukitaka kwenda kumtambulisha home kwa wazazi anatoa sababu kila siku za kutokuja, yaani anadai yupo busy.
4. Ambaye mambo yake hakuweki wazi, anafichaficha tu.
5. Ambaye ana ahadi hewa.
6. Ambaye maamuzi yake mengi huomba ushauri kwa dada zake au marafiki...yaani mara nyingi yeye sio muamuzi wa Mambo yake.

KWAKO BINAFSI UNAMCHUKULIAJE DEMU KAMA HUYU?
_Mm kwangu naona ni ana mwanaume zaidi ya mmoja,je ww?
View attachment 1146516
 
Kuna mmoja sikujua kama ana mtoto mkubwa kabisa kwanini huwa hawapendi kusema ukweli
 
Kwa aina hii ya enzi zetu unatongoza demu miezi 6 hata kumgusa chuchu hakuna na unamuimbisha dizaini hizi za Vijana kupata kipochi ilikuwa NO ungekomea kuziona kwenye picha, chabo au kwenye porno movie. Si ujinga uliouliza. Unataka tukufundishe , ina maana hata wakati wa kupanua tutakufundisha?
 
Aisee kama ndiyo huyo hapo kwenye picha mvumilie tu kwa kila hali.....
 
Kwa aina hii ya enzi zetu unatongoza demu miezi 6 hata kumgusa chuchu hakuna na unamuimbisha dizaini hizi za Vijana kupata kipochi ilikuwa NO ungekomea kuziona kwenye picha, chabo au kwenye porno movie. Si ujinga uliouliza. Unataka tukufundishe , ina maana hata wakati wa kupanua tutakufundisha?
Kwa sababu ya namna ambavyo jamii inawachukulia
 
Back
Top Bottom