Demu kama huyu unamchukuliaje?

Demu kama huyu unamchukuliaje?

Amekuweka kama reserve ili mambo yakienda vibaya huko anako penda ndo arudi kwako. Ningekuwa mimi, namuweka reserve pia. Sihangaiki naye hadi anitafute.
 
Sio tu ana mwanaume zaidi ya mmoja pia hakupendi. Kwa msichana ambae hajaolewa kuwa au kutongozwa na wanaume wengi ni kawaida maana si hajaolewa ukimuoa akawa anawanaume wengine hapo ndo kosa hapo we huna chako yaani hupendwi anakuchuna na wapo ambao kashaenda kutambulishwa we shanga shangaa tu utaachwa kwenye mataa... Sio kweli natania tu mkuu.
 
Sasa ungekubali kama ni wako iko hv kwa mambo mabaya siku zote tunayaleta humu tukidai niya marakifi, washukaji zetu au majirani lakini ukweli nikwamba ni yetu ila hatuwezi kusema ni yetu ila kwa yake mazuri kama ya kupata demu mkali na kumgegeda , mafanikio na nk ndio tunasema wazi kuwa ni yetu hata kama tumetunga nk.
Hlf sio mm,huyo demu ni wa mshkaji wng aisee!!
 
Weeh nawe hapo hupendwi yaan spare tyre ..red indicators zote hizo...
 
Huyu demu ni wa mshkaji wng aisee na jamaa ana plan nae kabisa...anampa kila kitu na anampenda kinoma na hana demu mwingine zaidi yake...daahhh kweli kuna wanawake hawajui wanataka nn kabisa kwenye maisha.
Mshauri amuache, ameshamuona fala wa hali ya juu.

"Ukimpenda saana na kumwamini saana mwanamke utapata moja kati ya haya; mke bora wa maisha au funzo kubwa maishani mwako.
 
Wewe hauna tabia zozote kati ya hizo mkuu?
 
Tembea mawazo yako yako sahihi ,ameshakuzoea ndo maana anaombaomba msamaha ila hilo halibadilish tabia wake
Ushauri:so mke acha kupoteza mda wako hamna siku atabadilika;kupanga n kuchagua
 
Huyo demu ana mambo mabaya tu, hana mzuri hata kiasi....?
 
Tembea mawazo yako yako sahihi ,ameshakuzoea ndo maana anaombaomba msamaha ila hilo halibadilish tabia wake
Ushauri:so mke acha kupoteza mda wako hamna siku atabadilika;kupanga n kuchagua
Asante mkuu
 
Mshauri amuache, ameshamuona fala wa hali ya juu.

"Ukimpenda saana na kumwamini saana mwanamke utapata moja kati ya haya; mke bora wa maisha au funzo kubwa maishani mwako.
Daaahhh na kwl mkuu......yaani mm huwa nashindwa kuelewa wanawake ukimpenda kwa moyo wako wote na kumthamini anakuona fala,pia usipompenda na kumthamini pia anakuona fala...daahh sasa mtu unashindwa uwe vipi
 
Hiv vijana cjui mnafail wap hamjui kujiongeza ukupanga appointment ukapige mziko muda umefika ukimpigia simu haptkani,SMS hajibu,ikipatkana hapkei mpaka ucku was saa4

Haulewi tu cha kufanya kweli?
 
Basi ikiwa hivyo uhitaji ushauri
Wanawake siwaelewi ukimpenda kwa dhati na kumthamini anakuona fala,usipompenda na kumthamini anakuona tena fala.....sasa mtu unashindwa uwe vipi.
 
Kuwa wakati na kati, nenda kutokana na mdundo.....
Wanawake siwaelewi ukimpenda kwa dhati na kumthamini anakuona fala,usipompenda na kumthamini anakuona tena fala.....sasa mtu unashindwa uwe vipi.
 
Kuwa wakati na kati, nenda kutokana na mdundo.....
Huyu demu ni wa mshikaji wangu ila na mm kesho au keshokutwa ntaleta tukio lililonitokea mwaka jana,utanionea huruma bro..acha tu sitaki hata kukumbuka ila nilimwachia MUNGU tu.
 
Back
Top Bottom