Demu kama huyu unamchukuliaje?

Demu kama huyu unamchukuliaje?

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
Hivi kwa mtazamo wako tu, unamchukuliaje demu ambaye ana tabia kami hizi na anadai anakupenda kwa dhati na ukimwambia ajirekebishe anaomba msamaha na kuahidi harudii tena ila baada ya muda anarudia. Na pia ukiamua kumuacha analia sana na kuonyesha kudhoofika sana, kila wakati anatuma marafiki kumwombea msamaha, meseji za msamaha na kupiga simu kuomba msamaha kila wakati ila ukimsamehe anarudia tena.....yaani demu mwenye tabia hizi;

1. Ambaye ukipanga kuonana nae kila wakati anadai yupo busy.
2. Ambaye hataki kabisa uguse simu yake
3. Ambaye ukitaka kwenda kumtambulisha home kwa wazazi anatoa sababu kila siku za kutokuja, yaani anadai yupo busy.
4. Ambaye mambo yake hakuweki wazi, anafichaficha tu.
5. Ambaye ana ahadi hewa.
6. Ambaye maamuzi yake mengi huomba ushauri kwa dada zake au marafiki...yaani mara nyingi yeye sio muamuzi wa Mambo yake.

KWAKO BINAFSI UNAMCHUKULIAJE DEMU KAMA HUYU?
_Mm kwangu naona ni ana mwanaume zaidi ya mmoja,je ww?
6d24c64d05ed9896bb0221f85777341f--beautiful-body-beautiful-ladies.jpeg
 
Ndo shida ya kujua kutongoza ukubwani
Eti kutongoza ukubwani..aliyekwambia mm nimeanza kutongaza juzi nani?
Aisee mzee baba,mm ni expert kinoma,usinihukumu na hata hunifahamu.....wewe cha muhimu hapo jibu kama uzi ulivyouliza acha kurukaruka kama digidigi!!
 
Hivi kwa mtazamo wako tu, unamchukuliaje demu ambaye ana tabia kami hizi na anadai anakupenda kwa dhati na ukimwambia ajirekebishe anaomba msamaha na kuahidi harudii tena ila baada ya muda anarudia. Na pia ukiamua kumuacha analia sana na kuonyesha kudhoofika sana, kila wakati anatuma marafiki kumwombea msamaha, meseji za msamaha na kupiga simu kuomba msamaha kila wakati ila ukimsamehe anarudia tena.....yaani demu mwenye tabia hizi;

1. Ambaye ukipanga kuonana nae kila wakati anadai yupo busy.
2. Ambaye hataki kabisa uguse simu yake
3. Ambaye ukitaka kwenda kumtambulisha home kwa wazazi anatoa sababu kila siku za kutokuja, yaani anadai yupo busy.
4. Ambaye mambo yake hakuweki wazi, anafichaficha tu.
5. Ambaye ana ahadi hewa.
6. Ambaye maamuzi yake mengi huomba ushauri kwa dada zake au marafiki...yaani mara nyingi yeye sio muamuzi wa Mambo yake.

KWAKO BINAFSI UNAMCHUKULIAJE DEMU KAMA HUYU?
_Mm kwangu naona ni ana mwanaume zaidi ya mmoja,je ww?
View attachment 1146516
Mpe Mimba
 
Ni malaya tu
 
Nonsense.

Mwanaume unashindwaje kutoa maamuzi kwenye mambo ya kijinga kama hayo.

Si mwanaume tu hata mwanamke anayejielewa tu ukimfanyia ujinga wa hivyo hawezi kubali.
 
Huyu dada anatumiwa na wengi mzee baba. Shtuka bado mapema, utakuja kujuta mbeleni huko. Una date na mtu asiyejitambua na kama anajitambua basi hupendwi hapo.

Yaani kwa mimi hapa kati ya hizo hoja ulizotoa hata moja tu ingenifanya kumtumbua kila mtu akashika njia yake.
 
Huyu demu ni wa mshkaji wng,mm nshamshsuri ampige chini kwani naona ni ana mwanaume zaidi ya mmoja kutokana na hizo tabia zake ila pia nimeona nishirikishe wadau ili pia wazo pana lipatikane. Hlf pia tu nikushauri kitu usione nyuzi ya mtu ukaanza tu kutukana eti "Nonsense" kama hujaipenda nenda katoe comment kwenye ambazo umependa...halaaaaa mbona ustaarabu ni f jombaa.....tumia lugha nzuri bhana acha unyofo ww au ndio unakuwa nn?
 
Eti kutongoza ukubwani..aliyekwambia mm nimeanza kutongaza juzi nani?
Aisee mzee baba,mm ni expert kinoma,usinihukumu na hata hunifahamu.....wewe cha muhimu hapo jibu kama uzi ulivyouliza acha kurukaruka kama digidigi!!
Mbona povu mzee? Kama mzoefu huu Uzi umeleta wa nini?
 
Huyu dada anatumiwa na wengi mzee baba. Shtuka bado mapema, utakuja kujuta mbeleni huko. Una date na mtu asiyejitambua na kama anajitambua basi hupendwi hapo.

Yaani kwa mimi hapa kati ya hizo hoja ulizotoa hata moja tu ingenifanya kumtumbua kila mtu akashika njia yake.
Huyu demu ni wa mshkaji wng aisee na jamaa ana plan nae kabisa...anampa kila kitu na anampenda kinoma na hana demu mwingine zaidi yake...daahhh kweli kuna wanawake hawajui wanataka nn kabisa kwenye maisha.
 
Namchukulia anapenda ukuni umuingie.. Mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom