Nilikuuliza umri wako na unaposoma! inawezekana tunapasua kichwa kumbe wewe ni kavulana tu,isitoshe bado hata hujabalehe..na hicho chuo si ajabu ni vile vya kariakoo!!.lakini kama kweli kichwani zimetimia na unajielewa halafu unaandika haya,dah basi humu jf tufunge macho tuombe maana yawezekana unategemewa kwenu na taifa pia.