Demokrasia ya wikileak tunaihitaji sana tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demokrasia ya wikileak tunaihitaji sana tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 9, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Leo Hii Wale Tunaoifuata Siasa ya Tanzania Tutaona Jinsi Gani Siri Zinaimaliza Inchi. Miaka Nenda Rudi Tanzania Inaongozwa na Kikundi cha Watu Wachache Sana. Hawa Mafisadi Ndio Wanaamua Waombe Mikopo Wapi na kwa Donor Yupi. Ukiangalia Tanzania Waziri wa Fedha Anapeleka Bungeni Matumizi ya Serikali kwa Mwaka Wakati Wabunge Hawajui Nani Alihusika na Uandikaji wa Haya Matumizi. Hii Kazi ya Kutengeneza na Kupunguza Matumizi Si Bunge Ndilo Linatakiwa Kushiriki Uundwaji wa Hizi Policies ili Serikali Izifuate? au Kazi ya Bunge ni Kumweshimu na Kumpigia Makofi JK Tuuuu?Ukiangalia Swala la Elimu na Afya Yale Yale Hakuna Mtanzania Anajua Policy ya Elimu Inatengenezwa na Nani? Kinachofanyika ni Upotofu Tu kwa Wananchi Umebaki. Hebu Tuangalie Mkurugenzi wa Bank Kuu Anaripoti kwa Nani? Huyo JK. Hakuna Kiongozi Tanzania Anajua Hizi Information na Maamuzi ya Inchi Yashirikishwe na Wananchi. Tanzania Haiwezi Kuendelea kwa Mfumo wa Siri Hata Mara Moja na Kilichobaki Tumekaribisha Wizi wa Ajabu na Tutaendelea Kumalizwa Tena na Tena Kama "Hakuna Transparency kwa Manufaa ya Wananchi Zimbabwe, Kenya, Ivory Coast na Haiti Leo ni Fundisho Tosha kwa CCM na Bado Hamsikii.

  "Huu Uchaguzi 2010 Umefanyika kwa Principle Hiyo Hiyo ya Siri ili Kikundi Hicho Hicho Kitutawale Tena. Kila Kitu Kinamwisho Ingawa CCM Wanaona Bado Wanamuda Mwingi"
   
 2. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Najaribu kufikiria ni jinsi gani tunaweza kufanya ili kuwaumbua hawa watu katika kila uwozo unaofanyika, kuna mambo mengi sana yanafanyika kienyeji na yanafichwa kwa kigezo cha siri za serikari. Mtandao huu wasiri ni lazima uvunjwe kwa sababu ukivunjwa na kila kitu kikijulikana kwa wananchi itaongeza uwajibikaji.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kuwa na wikileaks yetu ili kuanika uozo wa Tz
   
Loading...