Hii ndio watu wanasema mkuki kwa nguruwe, double standard ya hali ya juu, Shimbo where are you? Mwema? enyi mliojidai kuwa watu wakubali matokeo mko wapi pale CCM wanapokataa matokeo na kusababisha fujo?
Ingekuwa ni vyama vingine mngekuwa tayari kuwa crucify!!
Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, iko siku mtalipia unafiki huu!!! :A S angry: