Michael Chairman
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 922
- 589
mimi ningetamani kuona upinzani ukifia pale bungeni kwa kutetea maslahi ya wanyonge kama wanavyodai badala yake hakuna hata mmoja kiongozi kutoka upinzani mwenye ndoto ya kuwatetea wanyonge wote ni wasaka tonge tu.Masajent wenye silaha kwa bunge letu huwa mnawategemea sana nyinyi chama cha mafyongo