Democrats stage sit-in on House floor to force gun vote

Democrats stage sit-in on House floor to force gun vote

Hili ni somo kwa UKAWA, badala ya kutoka nje na kuziba midomo kwa toilet paper, wabaki ndani na waanzishe 'timbwili' kama hili la Democrats kwenye house of representatives.
Kwa Tanzania polisi wanatumiwa kuwatoa nje Wabunge wakisimama au kutishia kuanzisha fujo
 
Kwa Tanzania polisi wanatumiwa kuwatoa nje Wabunge wakisimama au kutishia kuanzisha fujo
Mi naona njia wanayotumia UKAWA ni sahihi kabisa kutoka nje kimya kimya kuliko kupiga makelele kama watoto au walevi
 
Bunge la marekani halifananiki na bunge la Tz, huku kwetu ni vioja tu mara utasikia nimevuliwa kibaraghashia, mara sanamu la diamond mara ...
 
Hili ni somo kwa UKAWA, badala ya kutoka nje na kuziba midomo kwa toilet paper, wabaki ndani na waanzishe 'timbwili' kama hili la Democrats kwenye house of representatives.
Hao jamaa walikaa chini kwenye mazulia kwa kile wanaita "sitting-in". Hapa bongo akina Mbowe wakikifanya sitting-in wataletewa polisi wawatoe kwa nguvu na ishatokea mara kadhaa. Nadhani hapo ni somo kwa Tulia Ackson kuhusu demokrasia
 
Ukawa igeni hii stail wakati mwingine hamna kutoka mnakaa chini mnaanza kuzomea tu... Tulia Akson.. Ccm.. Ccm.. Ccm
 
Na hicho ni chama tawala sasa.
Ndo maana huwa nawambia ukawa majority bungeni ndo suluhisho la matatizo yao,
vinginevyo watasusa bunge hadi mwisho wa dunia
 
Hizi publicity stunt," nyingine ni kiboko vichekesho vya aina yake but afadhali hawa kuliko hawa wakwetu wanaotoka nje.
 
external.jpg

Wabunge wa Bunge la Marekani toka chama cha Demokratik waki wamekaa chini sakafuni kupinga kitendo cha wabunge wenzao toka chama cha Republikan kuuwekea munda mswaada wa sheria uliokuwa unapendekeza hatua kadhaa kali zaidi za kudhibiti uuzaji na umiliki wa silaha nchini humo.

Tofauti yao na wabunge wenzao wa upinzani hapa Tanzania kina Kubenea, wao hawakuletewa Polisi kuja kuwaondoa kwa nguvu au kuitwa wana elimu za hapa na pale!! Hii ndiyo demokrasia ambayo ndugu zetu "wazinduaji" hawataki iwepo Tanzania!!
 
Wawakilishi wa Demodratic huko Marekani wametumia mbinu ya kukaa sakafuni kushinikiza sheria ya kurekebisha masharti ya umilikaji silaha huko Marekani.
Kwa kuwa wapo kwenye ususaji na wamekuwa wakitafuta mbinu za mbalimbali basi wajaribu na hii kwa angalizo kuwa kama kanuni zinaruhusu.
 
Attachments

  • upload_2016-6-24_0-57-18.png
    upload_2016-6-24_0-57-18.png
    62.6 KB · Views: 50
hao ndo wabunge makini kutoka nje kunakusaidia nini kama si uvivu wa kufikiri tu, hakujawahi kutokea duniani ukatatua tatizo kwa kulikimbia
Kwa tz na mbele ya tulia huwezi fanya vile, virungu vya askari polisi na majeshi yote vitatamalaki humo. Heri kijitokea nje tu. Nchi ya kibabe kuliko kambi ya alshababu.
 
Kwa tz na mbele ya tulia huwezi fanya vile, virungu vya askari polisi na majeshi yote vitatamalaki humo. Heri kijitokea nje tu. Nchi ya kibabe kuliko kambi ya alshababu.
kama ni hivyo kwanini wabunge wa ukawa wasitangaze kujihuzuru nafasi zao za ubunge.
 
Hili ni somo kwa UKAWA, badala ya kutoka nje na kuziba midomo kwa toilet paper, wabaki ndani na waanzishe 'timbwili' kama hili la Democrats kwenye house of representatives.
Watapigwa kipigo cha mbwa mwizi.
 
Na hicho ni chama tawala sasa.
Ndo maana huwa nawambia ukawa majority bungeni ndo suluhisho la matatizo yao,
vinginevyo watasusa bunge hadi mwisho wa dunia
Chama tawala kwenye serikali.bungeni Republican ndo chama tawala.
 
hao ndo wabunge makini kutoka nje kunakusaidia nini kama si uvivu wa kufikiri tu, hakujawahi kutokea duniani ukatatua tatizo kwa kulikimbia
Masajent wenye silaha kwa bunge letu huwa mnawategemea sana nyinyi chama cha mafyongo
 
Back
Top Bottom