ukishazijua shida za middle class.......je ni zipi zipi kati ya hizo zinatatuliwa overnight.....na zipi over a rreasonable period............then tujiulize Hussein kafanya nini so far....na je, ana uelekeo wa kukwamua shida hizo?........I think Hussein deserves some credits as he did accomplish somethings Vs his promises that put him there.........
Nilimwangalia mwanzo hadi mwisho, hakujiangusha chini baada ya kuishiwa hoja kutaka sympathy kama pale Jangwani
Nilimwangalia mwanzo hadi mwisho, hakujiangusha chini baada ya kuishiwa hoja kutaka sympathy kama pale Jangwani
Ndivyo ilivyotokea 2005 na 2010 pale JangwaniDuh! Kwa hiyo ukiiishiwa hoja unjiangusha!!