Ndio maana juzi nikawarudisha kwenye Upugiii.
Tena nikawaomba mmoja wenu tu anionee huruma
Mwanamke Kama Shunie ,kwa uzuri wake alojaliwa , nasikia wakati anasoma.. Alikua akichelewa Shule.. Walimu wanapanga mstari kumuomba msamaha kwa kuwahi kwao kufika Shule kabla Malaika hajafika.