Demiss amepotelea wapi?

naomba no ya melo PM, plz maana modes wanavonifanyia hapan kwa kweli. Nipo seriouz shostie.
 
Uko sahihi 100%, kama mimi kazi yangu inanikaba sipati pa kupumulia, sina pa kupata mbususu zaidi ya humu na walahi nitaoa humuhumu, sema tusitiriane jaman,mambo ya faragha tuyaache faraghani mazee.
Uko sahihi ya faragha yaishie faragha jamani...!!looh!kuhusu kuoa mbona watu wanaona humu!kuna kapo naijua wako almost 13 years now ni product ya jf tena ni watz wenzetu!!!Mungu ndo anajua mwenza wampata wapii!!!humu kuna watu wamezaa humu wako pamoja wengine wameachana n.k!!bahati mbaya ukikutana na jini mkata kamba

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mimi bwana nawaza mashosti zangu wako jf then hawajui km Mimi ndo nshalipuliwa sasa
shida ntaonekana mbea wa siri za watu looohh!
Mungu nistiri miyee!!!
sasa kwenye miamala ikianza namie usinisahau dogoo!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
naomba no ya melo PM, plz maana modes wanavonifanyia hapan kwa kweli. Nipo seriouz shostie.
afu sina tena ujue sikusave kwenye google...muambie@mzigua90 akupe...!!ningekupa shoo!!yaani max ana huruma sana ujue...then bonge la muungwana yaani acha kabisa ban miezi 3 sijaka hata 24 hrs
ila nimeacha matusi thiku hidhiii!!!
mmekua mthtaaaraabu..

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye wakata kamba nakazia,hao ndio wapo wengi kwa kweli,wanaturudisha nyuma kwa namna flani ila no sweat tutafika kibishi hata kama tutakua tumechoka.
 
Humu ndani ni ku lay low tu kama una Moyo mdogo,
Mambo ya Umaarufu tuwaachie Celebrities wa Bongo, maana wao washazoea michambo na mitusi kwa Watanganyika....

Yote kwa Yote tabia za kinyanyasaji na utapeli hazitafumbiwa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…