Na ule uzi wengi Walimshambulia mleta mada.. Ila Yule member akaamua kumfanyia vile Wangari.. sasa kama siyo chuki Binafsi ni nini?
Maana angeweza kujibizana naye kwa namna nyingine ila kuanza kumtolea mambo yake ya nje pale.. haukuwa Uanaume ule..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkamu.
Mambo yanaendelea mjini na hatuambiani[emoji16].
Ilikuwaje tena jamani?
Unajua mpendwa wewe ni mgomvi sanaπ π π πUnajua bi jeiefu alikuja jipost selfika? Nikajisema alikuwa na haki ya kuja kumuanika Meri π
ππππDah! Sema kzungu kigumu ila ngoja nijaribu kujibu, kwanza ahsante sana na nnashukuru haya " thank you for your kibdness, I like you too, especially the charming... Bundle ya lugha imeisha"
Kabisa bila kupepesa macho.Weee[emoji16][emoji16][emoji38]
Ni mbingu na ardhi?
Sijui kwanini nilikuita π hakutujibu comments zetu ujue na tulimpa hongera.Unajua mpendwa wewe ni mgomvi sanaπ π π π
Niwaambie kwa niaba yako?π
HaahaaahaaWitty nae haelewekagi usikute hata anajisema yeye mwenyewe [emoji23]
Kwa ile picha umri umeenda kidogo ila humu kuna balaaπππKabisa bila kupepesa macho.
Bwana JF atakuwa ni chovya chovya mmoja next level. Bahati mbaya tu hajajulikana...
Alijipost na kijukuu chetu cha JF π
Shost ukinisoma naomba tu uvunge π€£π€£ usije waza kunivaa kabsa.
Mi namjua lakini si unajua kama najua?πHaahaaahaa
I wish niwafungulie code wallah but nimekula kiapo sitamtaja coz ntazidi kumuumiza hapa na mimi sipendi kuona mwanamke mwenzangu ananyanyasika!
Ila naapa nimecheka na nazidi kucheka kila nikisoma comments zake, hata na yeye anajua[emoji848]
Ina maana huyo truesay mvutoless alimloga bwana jf? HahahaahaBaada ya kujipost nilihuzunika ujue? Sikutaka iwe story asee maana ni huzuni
Bwana jeiefu alikuwa na haki ya kufall kwa kina Meri na kunogewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Niite basi hata kwa kinge "snitch" mnafiki imekaa kushoto sana
Uzi gani tena jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nkamu haukuwepo kwenye ule uzi kwani? sema Picha nilihifadhi ngoja nione kama sijafuta
Hukuscreenshot? ππKwa ile picha umri umeenda kidogo ila humu kuna balaaπππ
Baada ya kujipost nilihuzunika ujue? Sikutaka iwe story asee maana ni huzuni
Bwana jeiefu alikuwa na haki ya kufall kwa kina Meri na kunogewa.
Yule ulimpongeza kwa katoto.Uzi gani tena jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sielewi chochote.
Nashangaa Meri,bijeiefu yaani natahamaki.
Ukisikia kupitwa na gari stand ndio huku[emoji16],na selfika nipo kila siku.
Hahahaha...Meri nimemuita mara tatu[emoji16][emoji16]Ngoja niombe witty anikopeshe nije, kuomba tena [emoji16]
Eeeeh!Yule ulimpongeza kwa katoto.
Siku kadhaa nyuma alileta jam MMU [emoji23][emoji23] Ila Uzi ulifutwa