20k?? Wee una utani, hiyo hata haifikii bei ya ile pensi aliyotupia, hapo hujaweka mguu wa bia + maudambwi udambwi mengine.Mimi nataka id ya mutamu mutamu πππ nikupe basi elf 20 uniambie, usinibanie meriiππππ
πππHa ha ha ule uzi wa dada kajifanya anamuulizia mwenzie kumbe yeye
Serious mbavu zangu zinauma sana sana saivi, nahitaji break nitoke huku kwa muda nirudi jioni nikiwa nimeponaπ€£π€£π€£Baada ya kujipost nilihuzunika ujue? Sikutaka iwe story asee maana ni huzuni
Bwana jeiefu alikuwa na haki ya kufall kwa kina Meri na kunogewa.
Hahahahahahahaha
Jamani eeh nasema hamniwezi kiselekali,kihela na kiuchawi
Ngoja niombe witty anikopeshe nije, kuomba tena π20k?? Wee una utani, hiyo hata haifikii bei ya ile pensi aliyotupia, hapo hujaweka mguu wa bia + maudambwi udambwi mengine.
Ongeza dau best nitakuachia tena mazima maana saivi naishi kwa hofu nishatishiwa maishaπ€£π€£π€£
Huu uzi wa mkaka mutamu mutamu kavaa pens
WeeeUnajua bi jeiefu alikuja jipost selfika? Nikajisema alikuwa na haki ya kuja kumuanika Meri
Muombeπ€£π€£, dau likiwa kubwa nakupa fastaaNgoja niombe witty anikopeshe nije, kuomba tena π
Nkamu.Ha ha ha ule uzi wa dada kajifanya anamuulizia mwenzie kumbe yeye
πππ mbona ghafla sana
niachie mywangu mzee huyo tapeli kaa nae weweHuyo bibi niachie mzee mwenzie
We pambana na hawa kina Manengelo
Ulipitwa pakubwaaaππNkamu.
Mambo yanaendelea mjini na hatuambiani.
Ilikuwaje tena jamani?
Baada ya kujipost nilihuzunika ujue? Sikutaka iwe story asee maana ni huzuni
Bwana jeiefu alikuwa na haki ya kufall kwa kina Meri na kunogewa.
TraitorNiite basi hata kwa kinge "snitch" mnafiki imekaa kushoto sana
JamaniUnajua bi jeiefu alikuja jipost selfika? Nikajisema alikuwa na haki ya kuja kumuanika Meri
ππππWeka hata ya KimKardashian tunamjua na tunajua siyo wewe lakin jinsi itakavyokua inapendeza tunaanza kuhusianisha na wewe kihisia kuwa utakua mrembo hivyohivyo , Nilishawahi kumtongoza mdada fB kisa napenda jina lake na jinsi anavyo andika comments zake yaani hajaweka hata profile pictures ipo ile kivuli ila nikamsifia kuwa yeye ni mrembo
.wWapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee.
Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu.
Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje? Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.
Wengine waliopotea humu ni;
1. massai dada
2. mama facebook
n.k