Demiss amepotelea wapi?

Maana ya huo msemo ni nini?
Maana yake ni safari ya kitu fulani ndiyo inaanza then mhusika mkuu anaishia njiani kwa sababu fulani.
Ticha wetu huwa anautumia kama kutuhimiza kuzingatia kusoma hasa topic fulani anazoona ni compulsory kwa exams, anasema siku ya mtihani swali la kwanza tu hujui, unaishia njiani ama unafia kwenye mauaπŸ€ͺ
 
Dada Wity tufungulie basi tucheke wote 🀣🀣🀣🀣
 
Hapa ndo huoneshi unafiki sasa
 
Wity nitobolee hili jipu basi
 
Mtoto una mkia balaaa, ni squat au Mungu kakupa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nlikua serious.....ntakuja kusutwa vibaya
Anayehitaji siri ya mafanikio akuje pm nitamuelekeza sina choyo mie🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…