Demiss amepotelea wapi?

. Hukuogopa? Mimi ningekua wewe ningemblock hapo hapo. Unatongozaje mtu humjui? Je kama ndo mtu wako nae yuko huku?

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa nimeshawazoea nikamsikiliza nione mwisho labda ataweza nipa mawe nikatusua life,

If yenyewe kichaka mkeo ataweza kukutongoza mkakutana guest..
Lakini sometime wengine wanakuwa labda wameumizwa wanatafuta pa kujituliza hawa ndio wengi nina experience nao hapa..

Yafaa nini maisha pasipo kunyanduana?
Ukipewa shukuru ila nyie ndio kutwa kutunyima ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Natamani niingie pm kwako..
 

Mwee wazifute jamani sio vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ