Demiss amepotelea wapi?

Nashangaa mbona uzi wangu hausongi kule kumbe Mmekuja kusutana na kuvuana ngup huku[emoji852][emoji852][emoji852]...!! Hakuna mahusiano ya Jf yanayoishaga salama yani lazima MWANAMKE ATADHALILISHWA TU.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan najuta kuchelewa kujiunga JF, kulikua kwa moto, uwiiiiih
Unavyopenda ubuyu sasa, basi hapo umejilaumu mwenyewe🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ubuyu wa Zanzibar kabisa.

Nimemmiss sana Demiss na ma ubuyu yake ' mara member mwenye kipara, member wa milioni 1 chagua hotel utakayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila humu ndani [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu
Sikujua muda kinachoendelea humu ila ipo siku moja mwenye Id hiyo alini-attack vibaya kwenye uzi nadhani ulikuwa jukwaa la ujenzi yaani vile alivyoandika ukiwa mwepesi ungeweza kuamini labda anamiliki ghorofa somewhere kumbe alikuwa mala.ya tu.
 
Kweli umetuchamba hivii Na wewe badala ututeteee
 
Sikujua muda kinachoendelea humu ila ipo siku moja mwenye Id hiyo alini-attack vibaya kwenye uzi nadhani ulikuwa jukwaa la ujenzi yaani vile alivyoandika ukiwa mwepesi ungeweza kuamini labda anamiliki ghorofa somewhere kumbe alikuwa mala.ya tu.
Yule dada ni mpiganaji Na anatafuta pesa achen kumsema vibaya
Kila mtu ana mapungufu yake humu tusihukumiane
 
Nashangaa mbona uzi wangu hausongi kule kumbe Mmekuja kusutana na kuvuana ngup huku[emoji852][emoji852][emoji852]...!! Hakuna mahusiano ya Jf yanayoishaga salama yani lazima MWANAMKE ATADHALILISHWA TU.
😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…