Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari,maziwa na mito ipo teleeee.
Poleni wale wenye simu changamoto za battery,sisi wa simu original tunapeta tu.
Nauliza member mwenzetu Demiss amekuwa kimya imekuwaje?Amepotelea wapi? Wanaomfahamu please details tafadhari.
Wengine waliopotea humu ni;
1.massai dada
2.mama facebook
n.k