Kuna mmojwapo kapotea humu na ananangwa kweli kwenye huu uzi sasa cha ajabu kwa ID nyingine kakomenti qoute anayochambwa nayy anajichamba tena vibaya mno
Katika wanawake niliokuwa napenda kila siku nisome uzi au comments zake alikuwa mchizi Demiss huyu dada alikuwa na kitu pekee juu ya uwakilishi wa maandishi yake. Niwe mkweli nimemmiss sana huyu dada Demiss la Lara1.