You muda wa kuanza kumfanyia mtu hizo analysis sina kwa kweli.Sidhani kama unaweza fikia hatua ya kudate na asexual asee maana hua hawapendi kabisa mahusiano wala sex mfano tesla,Newton, kuna rais wa marekani buchanan kama sijasahau mzee alikua hamaindishi kabisa wanawake(da vinci sio asexual maana mzee baba alikua omnisexual)
Sasa ikitokea ukaanguka kwake mkajikuta mpo Mapenzi nawe unapenda sex mbona utakomaπ Trust me hauwezi dumu sana lazima muachane
Kikubwa msome inner traits za mtu kabla ya kuzama nae penzini unaweza muhisi mtu ni gay kumbe ni default setting yake ipo hivo.
Kabla ya kuanza mahusiano chunguza inner traits hizi...
Personality (extrovert or intro), behavioral model (Aggressive,Passive or assertive) Reaction toward materials (Stoic, Cynic or materials driven)
Watu wengi sio observant mnajali tu utamu wa sex baaasiiii. Ila kwa mtu observant na mwenye Low latent Inhibition kama mimi hivyo vitu ni muhimu sana kuvichunguza. Inakua tamu zaidi ukimpenda mtu uliyemchunguza Soul,Mind na physical...Mi niache kupenda kwa raha zangu nianze kumtafiti mtu?
Wooooiiih
Jitahidi uwe LLI ndio maana mengi yanawapita duniaaniπ.You muda wa kuanza kumfanyia mtu hizo analysis sina kwa kweli.
Vinatick vinatick
Havitick haviti
Ahsante sana kwa somo zuri, na nimezidi kupata ufahamu na maarifa mengine zaidi, na nitazidi kuchimbua ili nipate kufahamu na kuelewa kwa upana zaidi.
I thought you're the one of them.
Nini maana ya sapiosexual..
Sure thing.
Mimi kuna traits fulani ninazo ndio zilifanya nijitafute nijifahamu...mada imekua inspired nami mwenyewe.
Kwakweli ni muhimu kumchunguza mwenzio traits zake kabla ya kuzama nae...Wewe upo too straight n Open lazima mada yako waile kichwa tu[emoji38][emoji38]
Salute mate[emoji109]
Sasa itabidi unifundishe jinsi ya kuandika kwa code maana JF wameniamulia hadi mzuka wa kua humu unakata, daah!
Sapiosexual, a person who is sexually attracted to highly intelligent people, so much so that they consider it to be the most important trait in a partner,
Na hii kwangu sio kwa partner hata rafiki, ili mtu awe close to me hua nampima kwa uwezo wake wa akili tunajikuta tu tuna match mambo yanasonga.
Demisexual anavutiwa na mtu aliyetengeneza nae bond ya muda mrefu sasa kwa mimi nikikumbuka enzi za ujana najiona kabisa sipo kwenye udemisexual.
[emoji3][emoji3]
Acha tu maana before sijazoea kuja huku jukwaa la mmu wengi walikua wanajua mimi wa kike ajili ya jina hadi pm wanakuja kabisa.[emoji38][emoji38]
Ndio maana sijamshangaa huyo bwana
Oh yes!
Safii, nimependa hiyo niko pooaa, sana.
Great.
Enhe so sisi demisexual tunatakiwa kufanyaje, ukute ndo umedate na asexual sasa.
Au ndo tuendelee tu kuteseka na vile hii dunia sio yetu?
Hiyo ilikua zamani kabla hujanituliza babe wangu.... ππ₯°Hahahah babeeeh kumbe ulikua unavuruga sana eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sasa umenifungua macho kuna kitu nilimiss kukielewa, exactly siwezi sex na mtu kama sijatengeneza nae bond hata kama ni kwa muda mfupi lakini zaidi nafall deeper kwa mtu ambaye ana uwezo mkubwa wa akili, mtu anayeweza kuchambua mambo, mtu ambaye anaangalia vitu kwa uchanya (positivity),Kufundisha sikujaliwa kipaji hichoπ
(Nami nifundishe jinsi ya kuAproach pisis)
Salute... Ujinga unaambukizwa lazima uchague aina ya akili za kua nawe karibu.
Mate technically wewe ni Demisexual, kwa sababu demi anatengeneza bond kwa mtu aliyempenda na kigezo kikubwa hua Intelligence ya huyo mtu. Labda tofauti ni kwamba sapio anafall kwa Mwanamke yoyote ambae ni Highly inteligent. Ila demi anafall kwa Mwanamke ambae ni inteligent ila wameshatengeneza bond
I smelled it..Hapa sasa umenifungua macho kuna kitu nilimiss kukielewa, exactly siwezi sex na mtu kama sijatengeneza nae bond hata kama ni kwa muda mfupi lakini zaidi nafall deeper kwa mtu ambaye ana uwezo mkubwa wa akili, mtu anayeweza kuchambua mambo, mtu ambaye anaangalia vitu kwa uchanya (positivity)
Hatari bado ukute wewe ni Assertive pia ni Stoic ππSo i'm Ambivert, Homosexual, Sapiosexual and Demisexual, hehehehe patamu hapoooooo
Hatuipi kipaumbele sisi tuna testosterone nyingi sasa hizo ndio zinasababisha nyege.. Wazungu na watu wengine hawana hizo za kutosha.. Yani hii ni genetic na kufanya mapenzi hakuzuii mtu kufanya mambo mengineWatu wametofautiana mate... Japo waafrika tunaipa kipaumbele ngono ila kwangu nadhani ni tofauti
Daaa! We mwamba tunalandana karibia kila kitu yani...
Inakadiriwa kuna watu takribani 6 wanaofana nawe kila kitu physically...Inner character kama Personalities na Behavioral model tunaweza fanana pia ila sijafahamu kama binaadamu wanaweza kufanana kila kitu..nitalifanyia kazi.Daaa! We mwamba tunalandana karibia kila kitu yani...
Kila ukileta mada za mlengo huu huwa nahisi najisoma, yani kama
umesoma mind yangu ndipo
ukaandaa maada.
Labda inawezekana tupo kwenye age range moja ndio maana changamoto unazoziona ndio hizo nazo kumbananazo huku.!
Kama tunachangia nafsi vile., (kuna siku niliwaza π€ ama binadamu kuna kitu tuna share ambacho kipo located outside our bodies ambapo kundi flani la watu wenye tabia za kufanana wanakua connected katika hicho kitu ambacho kipo specific kwa tabia hizo. Kwahiyo hivi vitu vipo tofauti tofauti kilingana na personalities, (kwa mfano kama server na computer)).
πππ
Ipuuzieni hiyo, ππΎsayansi inatuambia ni traits generation to generation.
Salute thanks for noticing me. Tuendelee kujuzana machache tuliyonayoMkuu shukrani kwa hili bandiko limeniweka sawa psychologically hususani katika mahusiano.
ππ½ππ½ππ½
Ubongo umegawanyika katika maeneo mbalimbali , ndani ya ubongo kuna sehemu inayoitwaHii mada murua
Na endelea tyuuh kufurahi dea. [emoji23][emoji23][emoji23]We kitoto unanifurahishaga[emoji2]
Hapo sasa safi, [emoji7][emoji7][emoji7]Hiyo ilikua zamani kabla hujanituliza babe wangu.... [emoji3][emoji3059]