Demisexual wanateseka sana

Inspired by true events
To those Stoics, Introverts and Demisexual peoples ✊
Cc
John Joba @issajosergio Culture Me et..
Lol, Culture Me ni Sapiosexual not that sure if i'm a demisexual maana nikiangalia nilivyo vuruga vuruga hahahaha nitakua siitendei haki hiyo demisexual kwa kweli,

Shukrani sana kwa mada nzuri, umeielezea vizuri sana tena kiundani nadhani ni muda sasa na sisi tupate elimu juu ya hizi Sexual Orientation na Gender Identity ni nzuri kujifunza na kuelewa dunia iko vipi, kuna kipindi nilitaka kuandika nikasema jamii forum lazima wapite na uzi wangu kama kawaida yao nikaacha,

Well done.
 
Ahsante sana kwa somo zuri, na nimezidi kupata ufahamu na maarifa mengine zaidi, na nitazidi kuchimbua ili nipate kufahamu na kuelewa kwa upana zaidi.
Usipate tabu mrembo wangu wewe uje ghetto tu nikusaidie kukuchimbulia yote kwa upana na urefu, 🤭😍😘🥰
 
Lol, Culture Me ni Sapiosexual not that sure if i'm a demisexual maana nikiangalia nilivyo vuruga vuruga hahahaha nitakua siitendei haki hiyo demisexual kwa kweli,
I thought you're the one of them.
Nini maana ya sapiosexual..
Sure thing.
Mimi kuna traits fulani ninazo ndio zilifanya nijitafute nijifahamu...mada imekua inspired nami mwenyewe.
Kwakweli ni muhimu kumchunguza mwenzio traits zake kabla ya kuzama nae...Wewe upo too straight n Open lazima mada yako waile kichwa tu😆😆
Well done.
Salute mate👊
 
Sasa itabidi unifundishe jinsi ya kuandika kwa code maana JF wameniamulia hadi mzuka wa kua humu unakata, daah!

Sapiosexual, a person who is sexually attracted to highly intelligent people, so much so that they consider it to be the most important trait in a partner,
Na hii kwangu sio kwa partner hata rafiki, ili mtu awe close to me hua nampima kwa uwezo wake wa akili tunajikuta tu tuna match mambo yanasonga.

Demisexual anavutiwa na mtu aliyetengeneza nae bond ya muda mrefu sasa kwa mimi nikikumbuka enzi za ujana najiona kabisa sipo kwenye udemisexual.
😀😀
 
Nisemetu asante sana kwa somo hili.
Mpaka na Jesus nimejua yupo kundi gani Dah!!!
 
Nilichoelewa ni kwamba mzee baba kachanganywa na jina langu. Hiyo Da' nadhani imemfanya ahisi kua mimi ni wa kike.😆😆
Kwamba we ni Vinci, sasa ukaweka hapo Da.

As in Da' Mwajei, Da' Husna ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwamba we ni Vinci, sasa ukaweka hapo Da.

As in Da' Mwajei, Da' Husna ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha tu maana before sijazoea kuja huku jukwaa la mmu wengi walikua wanajua mimi wa kike ajili ya jina hadi pm wanakuja kabisa.😆😆
Ndio maana sijamshangaa huyo bwana
 
Acha tu maana before sijazoea kuja huku jukwaa la mmu wengi walikua wanajua mimi wa kike ajili ya jina hadi pm wanakuja kabisa.😆😆
Ndio maana sijamshangaa huyo bwana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah!
Nimecheka na sikutarajia.
Sasa uitwe Ka' Vinci
 
Cheka life is too short to be stressful.
Niko poaaa sana.
Oh yes!
Safii, nimependa hiyo niko pooaa, sana.
Great.
Enhe so sisi demisexual tunatakiwa kufanyaje, ukute ndo umedate na asexual sasa.

Au ndo tuendelee tu kuteseka na vile hii dunia sio yetu?
 
Oh yes!
Safii, nimependa hiyo niko pooaa, sana.
Great.
Enhe so sisi demisexual tunatakiwa kufanyaje, ukute ndo umedate na asexual sasa.
Sidhani kama unaweza fikia hatua ya kudate na asexual asee maana hua hawapendi kabisa mahusiano wala sex mfano tesla,Newton, kuna rais wa marekani buchanan kama sijasahau mzee alikua hamaindishi kabisa wanawake(da vinci sio asexual maana mzee baba alikua omnisexual)

Sasa ikitokea ukaanguka kwake mkajikuta mpo Mapenzi nawe unapenda sex mbona utakoma😆 Trust me hauwezi dumu sana lazima muachane
Au ndo tuendelee tu kuteseka na vile hii dunia sio yetu?
Kikubwa msome inner traits za mtu kabla ya kuzama nae penzini unaweza muhisi mtu ni gay kumbe ni default setting yake ipo hivo.
Kabla ya kuanza mahusiano chunguza inner traits hizi...
Personality (extrovert or intro), behavioral model (Aggressive,Passive or assertive) Reaction toward materials (Stoic, Cynic or materials driven)
 
Hahahah babeeeh kumbe ulikua unavuruga sana eeeh?
 
Sasa itabidi unifundishe jinsi ya kuandika kwa code maana JF wameniamulia hadi mzuka wa kua humu unakata, daah!
Kufundisha sikujaliwa kipaji hicho😆
(Nami nifundishe jinsi ya kuAproach pisis)
Salute... Ujinga unaambukizwa lazima uchague aina ya akili za kua nawe karibu.
Demisexual anavutiwa na mtu aliyetengeneza nae bond ya muda mrefu sasa kwa mimi nikikumbuka enzi za ujana najiona kabisa sipo kwenye udemisexual.
😀😀
Mate technically wewe ni Demisexual, kwa sababu demi anatengeneza bond kwa mtu aliyempenda na kigezo kikubwa hua Intelligence ya huyo mtu. Labda tofauti ni kwamba sapio anafall kwa Mwanamke yoyote ambae ni Highly inteligent. Ila demi anafall kwa Mwanamke ambae ni inteligent ila wameshatengeneza bond
 
Ewaaaaaah babeeeeh,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…