Demisexual wanateseka sana

Demisexual wanateseka sana

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,007
Reaction score
108,555
Parental Guide: 18+
Explicit Content.​

images (63).jpeg

Mates;
Hua nikisoma visa vyenu humu vya mapenzi na uhusiano hua nashangazwa kwakweli, mara huyu kaachana na mwenzie,Yule kampiga mwenzie, huyu hampendi mwenzie kwa sababu Fulani. Hua mnanishangaza kwa kweli yaani unawezaje kumuacha-achana mtu uliye claim kwamba unampenda kwa dhati bila yeye maisha yako si kitu wala hupati furaha pasina yeye,najiuliza mtu uliyechangia nae kumbukumbu nzuri za mapenzi na upendo wenu kila mtu anajua mazuri ya mwenzie na mabaya yake and its ok kila mtu anajua familia ya mwenzie….Wengine unakuta ni mke na mume wamekaa miaka wana watoto kabisa halafu wanaachana, How??? Unamuachaje mtu uliyempenda

Asexuality ni hali ya kutokua/kukosa hamu ya kutokujihusisha na mapenzi au kufanya mapenzi kabisa, mtu kutokua na hamu ya mahusiano au kufanya mapenzi kunaweza kua kumesababishwa na sababu mbali mbali kama vile sababu za kiafya,imani ya mtu husika kama vile makasisi wa kikatoliki, uchumi wa mtu maana kama una madeni ya kodi hata nguvu za kiume zinakimbia, falsafa za mtu au kikundi zinaweza kufanya asijihusishe na mapenzi/ngono kama vile mabudha au wanafalsafa wengi wamekufa wajawahi kujihusisha. Lakini mtu anapokua ni Asexual anakua haziwiliwi na sababu yoyote ile nilizotaja hapo juu yaani yeye by default anakua hapendi tu wala hana hisia za kufanya mapenzi.

Gray Ace & Chastity
Hapo juu tumeona kwamba Asexual-ity ni hali ya kutokua/kukosa hamu ya kutokujihusisha na mapenzi au kufanya mapenzi kabisa lakini kuna kundi lingine la watu liitwalo Demisexual, watu wa kundi hili wanawake kwa wanaume ni watu ambao hua wanapata hamu ya kufanya mapenzi au kuwa kwenye mahusiano mpaka pale watakapukua na hisia za dhati juu ya mtu Fulani. Mtu akiwa ni Demisexual hata umtege vipi akukule tunda kimasihara hawezi kufanya nawe. Watu wa kundi hili hufahamika pia kama Gray asexuality maana wana bendera yao yenye rangi nyeusi,nyeupe,zambarau na kijivu/Gray ambayo ndio huwakilisha watu wasiovutiwa na mapenzi wanafahamika pia kama Gray Ace.

Wanafalsafa mbalimbali waliokua hawajihusishi na mapenzi/sex hasa Fiedrich Nietzsche anasema kwamba utoaji wa mbegu za kiume (semen ejaculation) husababisha kupungua kwa virutubisho muhimu kama vile Lecithin na Phosphorus ambavyo virutubisho hivyo hupatikana kwa wingi kwenye ubongo. Hivyo basi unapotoa semen inapelekea hivyo virutubisho viwili kupungua kwenye damu/mwilini hivyo basi mfuo wa mwili huvichukua vile virutubisho vilivyo vingi kutoka kwenye ubongo na kuvirudisha kwenye damu/mwilini ili kufidia vile virutubisho vilivyopungua baada ya kumwaga mbegu, jambo hili la kuchukua hivyo virutubisho likijirudia mara kwa mara hupelekea mwili kuathilika na kudumaza ukuaji wa mwili inavyotakiwa…Ndio maana kama mtu anapenda sana kufanya sex unaweza kumkuta kakonda kabisa kwa ajili ya hilo. Ajabu unaweza kuta mwanamke yeye akanenepa kisa mbegu anazomwagiwa na huyo jamaa aliyekonda.

images (65).jpeg

Mtu akiwa ni demisexual anakua na sifa kadha kadhaa ambazo mtu kama huna ufahamu wa mambo hayo unaweza kumuhisi vibaya, unaweza kumdhani mtu ni gay au lesbian kwakua amekataa kufanya nawe tendo kumbe ni yeye hana hisia kali juu yako. Mtu akiwa ni demisexual anaweza kua na sifa moja wapo ya hizi.
Demisexual akiCrush kwa mtu basi anakua serious sana juu ya mtu huyo na hua hawacrush kwa mtu yoyote tu ilimradi bali kwa watu ambao wanakua ni wa karibu yao au kashamchunguza mtu huyo watu wasiowafahamu huwa hawawavutii maana wao hua hawaangalii uzuri wan je . Huvutiwa zaidi na Intelligence na Kindness ya mtu kuliko muonekano wa nje wa mtu mara nyingi hua wanavutiwa na Yule mtu aliye ndani yako yaani wewe (Your inner you ) , Demisexual haupi kufanya mapenzi kipaumbele anachojali ni ile bond na feelings iliyopo kati ya yeye na Yule aliyempenda na ikitokea kafanya mapenzi basi atainjoi sana maana tendo hilifanya kwa hisia zaidi. Mtu kama akiwa ni demisxual akiwa na marafiki zake wakianza kuongelea habari za mapenzi lazima asiyafuatilie mambo hayo au huchukia hayo mazungumzo japo hataonyesha kwa wenzake kwa kuogopa kwamba watamuhisi vibaya (gay).

Mapenzi ni kama uyoga, uyoga umeshikiliwa na nguzo moja tu basi hata mapenzi yanatakiwa yashikiliwe na kitu kimoja tu kama nguzo kuu ambacho ni upendo wa dhati, Ukimpenda mtu inatakiwa uhakikishe no string attached kwa huyo uliyempenda ni upendo wa dhati juu yake tu ndio umekufanya uwe nae. Nikupende wakua nimekupenda wewe tu sio nikupende kwa kuangalia material things kama vile umbo, rangi ,macho,sauti,pesa,status nk. Upendo juu ya mtu uliyempenda inatakiwa U-flow naturally and unconditionally yaani ujisikie tu kumpenda hata akiwa hayupo around kwa saa moja uone kama ni forever dakika 60 uzione kamaa saa nzima.....Love grows like weed, Haijalishi tofauti itakayokuwepo kati yenu mpenda na mpendwa. Upendo hujiotea tu.

Nawe ukipendwa na mtu huyo anayekupenda hivyp just mpende tu naturally usiforce kumpenda acha tu upendo ule unatoka ndani yako (in your inner you) utiririke bila kikomo wala bugdha. Usimpenda mtu kwakua yeye amekupenda unaona ana mapenzi ya dhati juu yako…mpende kwakua nawe unampe na una hisia zisizo kifani juu yake maana ndicho anachostahihili. Usimpende mtu kwa kumuonea huruma utakua humuonei huruma bali uamtesa na kumdhurumu upendo wake …itakua kama anazitupia nguruwe dhahabu maana hawatajua thamani ya dhahabu hiyo mwisho wataikanyaga kanyaga…….Love in the Air.

Kwa wanaohitaj upendo wa dhati jaribu kuwatafuta watu hawa demisexual hua na mapenzi halisi sana yasio na kuigiza na wengi wao hua ni Monogamists. Monogamist ni watu ambao wakipenda mtu mmoja basi ni huyohuyo watakaempenda siku zote yaani wakishapenda mwanamke mmoja wanawake waliobaki sijui wanawaona kama vitu gani na ikitokea wameachana na huyo wampendae basi huwachukua muda mrefu kupenda tena maana inakua ngumu kupata mwingine watakae endana.

Mara nyingi Demisexual hua ni watu watulivu na very intelligent, inasemekana pia Yesu alikua either asexual au demisexual maana hakuvutiwa wala kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi japo mbeleni huko baada ya kukutana na Mary Magdalene alianzisha strong bond juu yake na kua na ukaribu nae sana mapokeo mengine ya kihistoria yanesema kwamba walikua wanamahusiano ya kimapenzi hivyo basi Yesu kama mtu wanamchukulia kama Asexual au Demisexual person kwa kuzingatia point of view ya mtu husika atakavyosoma na kuchukulia historia yake.
gettyimages-619253912-612x612.jpg

Wanawakesiwe wepesi wa kushutumu mwanaume kwamba hana nguvu za kiume pengine unaweza kua ulikutana na demisexual ukamshawishi hadi ukafanyana nae mapenzi akafanya chini ya kiwango tarajiwa kumbe hata sio kosa lake ni kwakua bado hajatengeneza strong bond nawe itakayomuwezesha kufurahia mapenzi/sex nawewe. Maana wengi hua hawalijui hili kua linaweza kua sababu ya mtu kufanya sex Under TBS .

Kikubwa unapokua na mahusiano jitahidi ufahamu unadeal na mtu wa personality gani. Trust me kwa demisexual baada ya kufanya mapenzi na mtu wasio na strong feeling juu yak hua wanasikia Guilty sana hua wanjilaumu kwa kufanya kitendo hiko na hua wanakwepa Yule waliefanya nae kabisa kwakua hutengeneza chuki(za ndani bila kudhihirisha nje) juu yake.
images (64).jpeg

~Da’Vinci
Excelsior
 
Parental Guide: 18+
Explicit Content.

View attachment 1835893

View attachment 1835894

~Da’Vinci
Excelsior

We n demisexual nitafute
Mimi ndo type yako!! Umeeleza kwa hisia sana
 
Noma sana mkuu things are pretty miserable out here. Demisexual personel huteseka san kama mwenza wake asipomfahamu vizur. Wengine wanaweza kutake advantage juu ya hali yako jiyo kukuControl mapenzini
 
Its far better to nourish warm than to live without. Women found me uncomfortably good looking
-Rango.

Watu wameumbwa kwa jins mbalimbali wewe kwako kigezo ni kusex na kuondoka wengine kwao mapenzi sio Sex.
Wewe mi nikipenda napenda haswa Tena atakaependwa nami hawezi kujuta
 
Hongera yako asee mimi ninawahamasisha tu hapa mpendane kwa dhaati maisha yenyewe mafupi haya.
Si unajua kocha hachezi-agi since I guide other to the treasures I can't possess ✊
 
Kwa mantiki hii inatakiwa wawe mapadre na masister, tofaut na hivyo tutawapoteza sana coz dunia ya sasa uaminifu hakuna kabsa
Uaminifu upo mkuu. Halafu ukiwa mwema unakutana na wema wengi kama wewe, Ukiwa na upendo utakutana na wenye upendo. Since you unaletewa wa kufaana nae na Nature.

Huwezi kua padre kisa tu huna hisia za mapenzi, utakua umecheat. Ukasisi wa Kanisa katoliki sio kichaka cha kwenda kujifuchia madhaifu yako ili uwe padre inatakiwa uwe physical na mentally fit moja wapo ya ufit huo ni kuweza kuitikia pindi unapopata vishawishi vya mapenzi (Penis Erection) ukiwa huna uwezo wa kupanda mtungi huwezi pokelewa huko.

Life is full of Honest and kind people if you don't see one, Be the One.✊
 
Hongera yako asee mimi ninawahamasisha tu hapa mpendane kwa dhaati maisha yenyewe mafupi haya.
Si unajua kocha hachezi-agi since I guide other to the treasures I can't possess ✊
Ndugu kwa navyokujua huwezi kukosa Toto moja matata.. vipi yule mshemeji yangu akina.... Yupo..?
 
Demi njoo useme naonaga kila siku demi, demi.. Wewe ni demi sutra ama demisexual? Ama demi ipi!?
 
Back
Top Bottom