Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Ushauri wangu wa kwanza ni badili avatar yako, hamuendani!
Sasa mbona tayari ushakula huyo?!,yani umeruhusu kanyonya halafu hutaki kuingiza dushelele kwenye kinyangili chake?!nipe namba zake nikuoneshe kazi lakini awe mwenye viwango vinavyokubalika.
Ungekuwa good boy usingempa mpenzi wa rafiki yako, ambaye unasema ni zaidi ya rafiki kwako, ambaye amekupokea kazini vizuri na kukufundisha kazi dudu lako alinyonye. Usijitetee kuwa hukumpa alichukua mwenyewe!I'm a gud boy ndo mana nimeomba ushauri ili nijiengue kwenye hili janga linaloweza kutokea any time from nw
Ungekuwa good boy usingempa mpenzi wa rafiki yako, ambaye unasema ni zaidi ya rafiki kwako, ambaye amekupokea kazini vizuri na kukufundisha kazi dudu lako alinyonye. Usijitetee kuwa hukumpa alichukua mwenyewe!
Unataka kufa wewe, cha mtu ni sumu.
Huyo mwanamke ni malaya, adabu hana na ni mshenzi.
Anaweza akakugeuzia kibao na ukaonekana wewe ndio ulisumbua kumtaka. kaa nae mbali na usipende kuzoea au kuwa karibu na mwanamke wa mtu, yatakukuta makubwa.
Uenda hata jamaa anakutega akuone kama ni rafiki mwema kwake.
fanya hivi. akikupigia usipoke sim hata siku moja.
akikuandikia sms, anataka uende kwake husijibu, jibu siku ya pili na mwambie simu ulisau mahali, ulilala mapema.
Tafuta mwanamke au mpenzi, ili akuone na demu, na msg zake muoneshe huyo mpenzi wako, ni ushahidi likitokea lolote baadae.
nakupa pole
Pole mdogo wangu ndio tabia za wanawake wengi wa mjini ila jitaid kumuepuka
Enough is enough...
Dem mzuri kishenzi, anafanya kazi CRDB...jamaa yake ndio kanipokea ofisini mwaka huu January wkt naanza kazi, he is more than a brother to me, hadi kanishirikisha kwamba ana mpango wa kumuoa huyo binti...
Cha ajabu sasa, unaweza ukakuta tumekaa mimi, huyo demu na jamaa yake, afu dem anaanza kunikonyeza!
Juzi usiku kanipigia simu niende kwake, nikamuuliza kuna nn? akanijibu "pls naomba uje mara moja", nikaenda, kufika nikagonga akauliza "we nani?", nikamjibu...akasema ingia, nikamkuta amevaa ch*pi nyeupe tu hlf amejikunyata, akaniambia "acha woga ww njo uonje vitu adimu", nikatoka fasta! wkt huo mapigo ya moyo yamebadilika kbs!!!
Mbaya zaidi jana jamaa yake kanipigia akaniambia mdg wangu niko sehemu, kama una nafasi naomba umpitie shemeji yako uje nae tule nyama kdg, mimi na huyo manzi tunaishi karibu, ilikua usiku, nikafika kwake akaingia kwenye gari vzr tu hlf moja kwa moja akaanza kunishika dushelele yangu, khaaa! nikashindwa kujizuia, akafungua zipu nikawa namuangalia tu huku natetemeka, akanyonya dushelele kama nusu saa hivi!! Wallah vile almanusura nimshughulikie kwenye gari!!!!
This is serious, hebu nishaurini jamani, niimwambie tu jamaa tabia ya huyu demu au ninyamaze, tatizo lingine ni kwamba jamaa akijua dem wake kanyonya dushelele yangu itakuaje??? Sina amani kbs...imefikia hatua namu-avoid kbs huyu shemeji yangu
:sad:
wewe huna demu?tafuta demu wako huyo kicheche atakaa pembeni
Na kama jamaa yake ni mtu muelewa jaribu kumueleza ila kama utaona hana busara achana nae lakini kingine kama una mchumba au rafiki wa kike muweke karibu na huyo mdada wawe marafiki utakuwa umepona kwa hilo