Dem wa mizinga


Ndio maana hawaolewi, wanasota wanatabia mbaya. Alitaka kukufanya ATM yake
 
one thing is clear katika zama hizi, wanawake wanaamini wameumbwa ili kusaidiwa. yani wamegeuka omba omba wa kutupwa, tena bila aibu. huo ndio usawa mnaoupigia upatu kila siku? and mind you, ukitengeneza uhusiano based on mizinga na kuhonga hata ukimuoa huyo changu akitokea mwenye dau kubwa zaidi ata.mpa.nda. tuu. ------- kabisa ( ------- si tusi, ref. waziri mkubwa)
 
juzi mm nimepigwa mzinga wa kununuwa sim, kanipa jina la simu anayo penda basi kwenda dukani nimekuta inauzwa kama laki 6 hivi,sasa hii nimizinga au ujambazi wa mchana kweupe nimempotezea kimyakimya ache akatafute wanaume wa laki 6, wanaudhi sana hawana adabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…