Dem wa mizinga

If I may ask wanajamvi

Tunatofautishaje mtu anapoomba msaada na mzinga?????????

Kuna mahusiano,yoyote yale bila kusaidiana??????

kuomba msaada,

ni pale kweli umekwana, basi unaomba usaidiwe, umeugua ama kuuguliwa na ndugu yako wa karibu na huna pesa kipindi hicho basi utasaidiwa pesa ukatibiwe,

au umeachishwa kazi ghafla, hukuwa na saving yoyote, basi hapo utasaidiwa mpka utakajiona unaweza simama pekeyako tena

mizinga iko hivi, unafanya kazi, unalipwa vizuri au una biashara nzuri ila hutaki kutumia pesa yako,uanpenda kutumia ya mwenzako tu. ukitaka suluali nzuri unamwomba mpenzi wako hela akununulie, akujazie mafuta kwenye gari, akununulie umeme home, akulipie bill ya maji, aje na kagunia aya mchele

mara friji yako imeharibika unataka mpenzi wako akunulie mpya,mara unataka mpenzi wako akutumie pesa ukafanye check up wakati una bima yako ya afya, yaani lango ni kumfuja tu
 
Mmmh!!
Unadhani kwamba tabia ya mizinga ni kitu cha kurithiwa?

I strongly disagree mtu mwenye tabia ya mizinga huwa haachi hata akiwa bibi anawpaiga wajukuu virungu hadi wajukuu wanamkimbia.
 
Ila kuna wadada wengine kusema tu ile kweli wamezidi mizinga...

Yaani akishajua tu kuwa sasa anamilikiwa basi utaletewa mlolongo wa matatizo...

Mwisho wa siku utajiuliza hivi huyu mtu kabla ya kuwa nami alikuwa anaishije??

Niko kwenye mfungo wa kutoa like ila hapa ninatamani hata kulike mara ya pili. Hawa wanaume wako kama wanaishi sayari ya mars. Msichana unayetegemea awe mkeo kuhudumia hutaki sasa nani amhudumie ili wewe uje uchukue vilivyotengenezwa?
 
Mmmh!!
Unadhani kwamba tabia ya mizinga ni kitu cha kurithiwa?

Kama amerithi au amejifunza hizo tabia huwa watu hawaachi kabisa!

Hata kama anapesa atazificha halafu akupige mzinga. Hata kama ni bosi ofisini atawapiga mizinga watu wa chini yake wanaopokea mahshara mdogo. Ni tabia moja mbaya sana na huwa haifutiki.
 
Ila kuna wadada wengine kusema tu ile kweli wamezidi mizinga...

Yaani akishajua tu kuwa sasa anamilikiwa basi utaletewa mlolongo wa matatizo...

Mwisho wa siku utajiuliza hivi huyu mtu kabla ya kuwa nami alikuwa anaishije??

Sasa ayapeleke wapi, ujue mtu akikuletea matatizo yake ujue anakuamini sana so take part
 
Jamani wewe mwanaume usikute unapigwa mizinga ya kawaida tu mwanaume ni majukumu aisiii jitahidi kumridhisha mpenzi wako na hata kama hauna unamwelekeza tu kwa hali uliyonayo maisha ni mipango tu na kumbuka ni vizuri kurekebishana mapema na kama ana tabia nzuri kweli umempoteza mke kwani hilo ni jamabo rahisi sana it means wewe ukimuoa hautamtimizia mahitaji kwa sababu ana kazi ni wajibu wako tu baba
 
Naam mkuu ni kweli kabisa, huwa wanasema kuwa "mazoea hujenga tabia"

Lakini mimi binafsi kulingana na mada hii nimejaribu kutokuwaza moja kwa moja na kuepuka kuelekeza fikra zangu kwenye neno mizinga kama linavyomaanisha...
Huenda mambo aliyokuwa akiombwa bwana huyu ni ya kawaida kabisa kwa wapendanao, lakini kwake hakuyaona kwa mtazamo huo...
Pia hajatueleza pindi alipokuwa akikataa kutoa hiyo mizinga, nini ilikuwa reaction ya huyo mpenzi wake?

 
Mizinga mingine ni sehemu ya kukusanya hela tu basi...hakuna cha maana utakachopata kutoka kwa mtoa mizinga labda K, asilimia kubwa wanatumia hii njia kama njia ya kutunisha mifuko yao tu....hii ipo kabisa mitaani!

Yaani akiwa kama hana hela, anamkumbuka David, anarusha mzinga wa 30,000, akitoka hapo anakwenda kwa Salum, anarusha 70,000, keshapata laki hapo tayari, anamkumbuka mwingine Joseph, anarusha mzinga wa 20,000 hivyo hivyo. hawa ndo hatare...

Bora hawa wa mizinga midogo midogo hasa ya chakula na misaada mingine ya kibinadamu ambao unaona kabisa ana shida hiyo...lkn wengi wao hawapiki makwao au kwenye mageto yao, akipiga mizinga ya chakula na akapata anarudi nyumbani kulala, kamaliza kazi basi!
 
Kuna matatizo na kuna mengine ni zaidi ya matatizo...

Unajua kwa jinsi hiyo, ndio maana ni rahisi kwa wadada kutekwa kirahisi kwa nguvu ya pesa tu...mwanamke shurti awe independent sister...

Kuombaomba sana nako kunamfanya mwanamke awe mtumwa atii

Sasa ayapeleke wapi, ujue mtu akikuletea matatizo yake ujue anakuamini sana so take part
 



Kudos!!! Leo umeongea kama wabunge kumi hivii tena wa ccm lol
 
Kuna matatizo na kuna mengine ni zaidi ya matatizo...

Unajua kwa jinsi hiyo, ndio maana ni rahisi kwa wadada kutekwa kirahisi kwa nguvu ya pesa tu...mwanamke shurti awe independent sister...

Kuombaomba sana nako kunamfanya mwanamke awe mtumwa atii

mwanaume lazma apimwe atii
 
Hvi sis, si unajua kuna utofauti kati ya "taking care" na "mizinga"?

So tell me, between the two kipi ni kipimo?

These two are synonymous and they correlate. Taking care inahusisha mizinga pia hasa kwa mwanaume ambaye hana moyo wa kutoa yeye mwenyewe hadi aombwe/akumbushwe na mwanamke wake
 
Swali gumu .
Maana we Ndo unaejua nafsi yako
Na unataka nini maishani ..
 
Umenena vyema lakini pia umesahau kuangazia na upande mwingine...

Kuna wanaume ambao wana moyo wa kutoa na huwa wanatoa...lakini tatizo huja pale mwanamke anapoamua kuutumia mwanya huo kutaka kutatua shida zake zote...

Nadhani ushawahi kusikia habari za mwanaume kuwekwa kiganjani na mkewe, au familia ya mke imemteka na kusahau familia yake kabisa...

Achana na hii mizinga midogo midogo ambayo kimsingi yanafall kwenye part ya "taking care"

These two are synonymous and they correlate. Taking care inahusisha mizinga pia hasa kwa mwanaume ambaye hana moyo wa kutoa yeye mwenyewe hadi aombwe/akumbushwe na mwanamke wake
 

Acha usenge nna kazi nyingi, we unataka kugegeda bureeeeeee!

Nawasaka girini gadi.
 

Hii mada ni pana sana, hahaha kuna wabeijing waliotaka more autonomy ila kwenye ishu ya kuhudumiwa madaraka yabaki kwa mume. Hahaha hapa tutakesha.
 
Hahaha hapo wabeijing ndio ambapo huwa mna-surrender lol...

Na kweli tutakesha maana mada ina angles nyingi za kuijadili...

Hii mada ni pana sana, hahaha kuna wabeijing waliotaka more autonomy ila kwenye ishu ya kuhudumiwa madaraka yabaki kwa mume. Hahaha hapa tutakesha.
 


madameA, coming from a woman comment yako imenisikitisha sana kama ulivyoandika ndivyo unavyoona sababu halali ya kupewa pesa...then u simply defined a -----..am really worried kama hiyo ndo perception yako!

Hebu msome ata mgegedaji mzabzab...

 
Last edited by a moderator:


Jamani polepole basi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…