much respect mkuu Young Master nimejifunza kitu toka kwako!Mhmmm!!! Kutokana na maelezo yako inaelekea your hard disk is dead. Badilisha hard disk nyingine na kila kitu kitakuwa sawa. Pia achana na software ambazo zinasababisha windows yako ku-crash...remember kadiri unavyozidi ku-format pc yako ndivyo jinsi unavyozidi kupunguza uhai wa hard disk yako.
mkuu JuaKali asante kwa msisitizo, nami naamini tatizo ni hii HDD itakuwa taabani!Nakubariana na Young Master, Pia nimepata tatizo kama hilo siku chache zilizopita katika Desktop yangu inarun Window 8 / na XP ina HDD mbili, kila nikijaribu kuiwasha inaishia kwenye logo ya Windows na kustack hapo. NIkajaribu kudisconnect hdd moja na kujaribu kuwasha ikawaka vizuri kabisa, nilipojaribu ile nyingine niliyokuwa nimedisconnect ugonjwa unarudi pale pale.
Kuna sababu ya Msingi inayokuzuia kutumia Linux?
nina xp3 genuine! lakini zinazogoma leo nimeshawahi kuzitumia mara kadhaa, can it be an issue of genuiness?Hizo Os CDs zote ni genuine au pirated?
User friendly myth!hakuna sababu ya msingi mkuu, japo naona kama windows ni user's friendly hasa linapokuja suala la kuogeza programs mbalimbali!
May be scratched!nina xp3 genuine! lakini zinazogoma leo nimeshawahi kuzitumia mara kadhaa, can it be an issue of genuiness?
May be scratched!
Inategemea na aina ya scratch. Inaweza kuliharibu kwa kiwango kidogo (mfano cabinet files) na baadae ikashindwa ku decompress. All in all ajaribu machine nyingine ili kutest kama issue ni CD au Machine/HDDMkuu CTO kama tatizo lingekuwa ndio CD...OS ingegoma ku install maana some files zingemiss na CD za OS zimekuwa designed zi install OS only and only if files zote zinazotakiwa ziwemo kwenye hiyo OS zipo. Lakini jamaa analalamika kuwa hata kama akifanikiwa ku-install OS bado PC yake inaleta shida.
Mkuu CTO, ukifuatilia kwa makini mtoa maana kaeleza vizuri sana shida ya computer yake " lakini kwa muda sasa, nikijaribu ku-install windows (be it xp2, xp3, xp3 geneous or windows 7) inagoma kabisa. yaani inaweza anza loading files....100%
copying files.... 100%
restarts... (kama kawaida)
installing windows...
restarts... (hapa ina-stuck wakati ikianza kuonesha ile logo ya Windows 7)
"Je CD zote hizo alizonazo Xp2, 3 na Windows 7 zote zimepata matatizo ghafla?
Mhmmm!!! Kutokana na maelezo yako inaelekea your hard disk is dead. Badilisha hard disk nyingine na kila kitu kitakuwa sawa. Pia achana na software ambazo zinasababisha windows yako ku-crash...remember kadiri unavyozidi ku-format pc yako ndivyo jinsi unavyozidi kupunguza uhai wa hard disk yako.
Uko sahihi Mkuu, isipokuwa hapo kwenye red!
mkuu young master, nimejaribu sana kutafuta ukweli juu ya hilo swala la kuformat cd na kuharibu hdd sijawahi pata ukwelikwa nini unasema hapo kwenye red sipo sahihi?
mkuu young master, nimejaribu sana kutafuta ukweli juu ya hilo swala la kuformat cd na kuharibu hdd sijawahi pata ukweli
Nimesema hivyo kwa sababu some of the low level format they add bad sectors to bad sectors list
Hapana CD zake zinawezekana hazina shida. Kwa maana hiyo upande wa software nikiwa na maana OS CDs zake zinawezekana ni nzima kabisa. Hatua ya pili anatakiwa kubadili HDD na kutumia nyingine ambayo ana uhakika ni nzima. Endapo tatatizo litaendelea basi atoe RAM/DDR zote kwenye slots zake then apachike moja kisha aanze tena kupandisha Operating system au abadili kabisa aweke amabazo ana uhakika kwamba ni nzima ama amezitoa katika mashine ambayo ni nzima. Hilo nalo nilikataa option ya mwisho aangalie je Processor yake inafanya kazi vizuri, akitaka kujua kama inafanya kazi viziri awashe mashine then aguse heat sink na kuangalia kama inapata joto la kutosha. Kama joto lake sio la kutosha basi na efficiency yake itakuwa sio nzuri sana. pia anaweza akachukua jukumu la kubadili Processor alafu aendelee ku-install Operating System. Hope hapo atapata ufumbuzi.